Dr Samia: Niliporuhusu wapinzani wafanye siasa hawana cha kusema zaidi ya kunitukana

Dr Samia: Niliporuhusu wapinzani wafanye siasa hawana cha kusema zaidi ya kunitukana

Cjui watu wanashindwa kuelewa au bac ili mradi kupinga kila kitu,wakati Mama Samia anachukua nchi kulikuwa na zuio hilo la vyama vya upinzani kufanya siasa,yeye alilitoa hilo zuio(aliruhusu),sasa iwe aliyezuia alisigina katiba ukweli mchungu utabaki palepale mama Samia aliruhusu.
Uelewa wako ni mdogo, jifunze kwanza kwa wengine uongeze maarifa
 
Mbona mliufyata kwa jpm. Au katiba haikuwepo kipindi cha jpm
Kwani shida iko wapi?

Kama naye anataka kufia kuleeee Zahanati ya Mzena, kaeni kwenye vikao vyenu hapo Lumumba kisha mwambieni afanye kama huyo mjinga ambaye kesha kufa tayari alivyofanya!

Mtu anayefanya jambo lisilopaswa kufanya kisheria, kikatiba na kimaadili huyo si tu mjinga bali ni mpumbavu kabisa.!

Mnataka Rais Samia Suluhu Hassan aingie kwenye ujinga na upumbavu? Basi, mshaurini afanye lisilopaswa kufanywa!!
 
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.
asiseme karuhusu!sheria ndo imeruhusu sio yy
 
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.
Mikutano ya siasa hauruhusiwi na rais bali ni katiba ya nchi inayoruhusu
 
Mkumbusheni mama yenu maandamo na makusanyiko yote ya kisiasa yako kikatiba.

Au kwakuwa somo la uraia nalo alifeli ndio anashindwa kujua?

Yule mwehu wa Chato alizuia wengine wasifanye mikutano halafu akabaki kufanya yeye pekeyake huku akidanganya watu anakubalika.
 
Naona anayetukana hadi maini yanatikisika ni Mange. Wapinzani wao pumzi ilikatishwa na JPM hadi sasa nguvu yao ya kurudi iko chini sana, mara mojamoja wanachanganya na tukashfa na vilugha vikalivikali ( tafsiriwa matusi).
Wawaache wadau wanajitafuta bado.
 
Wapinzani wamesababisha maendeleo yachelewe. Tuwakatae wapinzani.
bora nchi inendeshwe na jeshi kuliko watu wanateuliwa wanaenda kulawiti watoto hawafanyi kazi, Pesa za wananchi wanaenda kuhonga vibinti wakalawiti watoto kama hawa 👇
 
Attachments

  • 38FA53C9-1839-4C6E-8C50-478F94D8D447.jpeg
    38FA53C9-1839-4C6E-8C50-478F94D8D447.jpeg
    127.9 KB · Views: 1
CHADEMA ni kiwanda cha matusi.
hawawezi kumzidi huyu anateyewaingilia watoto wa wenzake kinyume wakati anao wake huku wananchi wakimlipa mishahara ofisi ameigeuza kuwa sehemu ya kufanya ushetani na ulawiti kwa mabinti👇
 
Attachments

  • BE87FCFE-DF14-4920-ACDC-CB32882FA8FC.jpeg
    BE87FCFE-DF14-4920-ACDC-CB32882FA8FC.jpeg
    127.9 KB · Views: 1
chadema ni kama wehu flani ivi
bora uwe tahira kuliko kwenda kufunua sehemu za kujisaidia za watoto ni zaidi ya utahira na yeye ni MWANA CCM. Hii inaonyesha ni namna gani chama hakina watu makini.
Huyu yeye kazi yake alikuwa akienda kazini ni kufunua sehemu za haja kubwa za watoto ni CCM PIA
 
Attachments

  • D5B155DB-C890-4E1E-B65D-8DD3D9E9EF86.jpeg
    D5B155DB-C890-4E1E-B65D-8DD3D9E9EF86.jpeg
    127.9 KB · Views: 1
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.
Nani alimtukana??
Kwani asiwapeleke mahakamani?
 
Back
Top Bottom