Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Laiti kama akipatikana dalali wa maana hii Nchi iuzwe tu Kila mtu ale Chake apite Hivi. Kwa maana hiyo sa100 Nchi ni yake sio ya watanzania Tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii comment mtu anaweza dhani upinzani upo serious kweli kumbe kihasibu hamna userious wowote.Kama umetukanwa sheria zipo chukua hatua. Lakini kilichoruhusu mikutano ni Katiba sio wewe. Mpaka hapo inaonyesha "wanaokutukana" wana sababu ya msingi.
Halafu "walioruhusu" mikutano ni wazungu na mikopo sio wewe
Magu did itMikutano ya siasa hauruhusiwi na rais bali ni katiba ya nchi inayoruhusu
😁😁 kwani mnaitwa chawa au mlijiita wenyewe chawa?Na ndio maana huwezi Kuta Wana hoja ya msingi zaidi ya propaganda,kutukana na ujinga mwingine kama huo.
Unamsikia punguani mmja anasema Nchi imeuzwa Kwa Waarabu unamuulizia how? Anaanza kutukana na kuita Chawa
Sijui Wanaoitwa na wanaoita,waulize hao😁😁 kwani mnaitwa chawa au mlijiita wenyewe chawa?
Akijua na kufanya kusudi hana tofauti na asiyejua.daaah kweli form 4 failure mbaya ila anaweza akawa anajua ila anafanya kusudi
Wapinzani kuweni makini hii Kauli ya Rais sio ya bahati mbaya 👇👇Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.
That is why he is therelMagu did it
www.jamiiforums.com
Tumesema sana KATIBA MPYA na TUME HURU lakini unatuhadaa.hawana cha kusema
Nyie jifanyeni hamnazo: Kwani Magu alipofunga mikutano katiba haikuwepo??Tulifanya nini??Usiangalie nguvu ya kwenye makaratasi (katiba) angalia nguvu ya uhalisiaKama umetukanwa sheria zipo chukua hatua. Lakini kilichoruhusu mikutano ni Katiba sio wewe. Mpaka hapo inaonyesha "wanaokutukana" wana sababu ya msingi.
Halafu "walioruhusu" mikutano ni wazungu na mikopo sio wewe