DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

sie wa upstream tutabaki kulinda vyanzo vyamaji tuuu....kiuhalisia Tanzania tulitakiwa tupewe umeme/fedha na Ethiopia imalizapo mradi kutokana na kutoharibu vyanzo vya maji vya ziwa Victoria
 
hakuna nchi Africa imewazidi congo kwa utajiri wa chini ya Ardhi,sisi tumezidi nchi kama Kenya, Uganda nk sio congo. unajua hata computer, smart phones nk baadhi ya material yanatoka congo? unajua mabomu yale ya atomic yalitengenezwa kwa material ya Congo, yani wana almasi, Dhahabu, Copper, Cobalt nk
Hayo madini yaliyopo Congo hata kwetu yapo kitaalamu kuna miamba tuna share nao . Madini ya kutengenezea smartphone yapo pia kule lupa tinga tinga wilaya chunya nk
 
sie wa upstream tutabaki kulinda vyanzo vyamaji tuuu....kiuhalisia Tanzania tulitakiwa tupewe umeme/fedha na Ethiopia imalizapo mradi kutokana na kutoharibu vyanzo vya maji vya ziwa Victoria
Maji wanayotumia Ethiopia kujenga bwawa la umeme yanalishiwa toka blue nile ambayo chanzo chake ni Ethiopia yenyewe
 
Utajiri wa Rasilimali ofcourse, shida ni kuweza kuzitumia hizo rasilimali ili ziingize pesa, shida ipo hapo tu. Ni kama sisi tunavyowekewa vikwazo vya kimazingira wakati wa ujenzi wa Rufiji, ona Lissu na Zitto wanavyotumika vibaya kukwamisha hili bwawa, ni ushenzi tu!
Lusu na Zito ni watoto wa juzi tu, mlikuwa wapi miaka yote?
 
Aaah hii ni excuse tu mkuu, kma alikua na nia ya kufuata Interehamwe na kumtoa Mobutu kulikoni ang'ang'anie RDC baada ya Mobutu kukimbia.

Alipokuja Kabila bado alivamia tena kusaka interehamwe, ila cha kujiuliza hao wahutu wapo Kivu tu ssa Katanga huko hadi Bas congo alifuata nni?

Kma issue ni Kagame kuchokozwa mbona hasemi watutsi walipofukuzwa Rwanda na Burundi miaka ya 50 walipokelewa na Mobutu. Huko Kivu/ituri kila wakitaka kuvamiwa na Wenyeji basi Mobutu alituma majeshi kuwasaidia watutsi wa huko masisi na !! Hayo yote kagame hakufahamu?

Ni visingizio tu ila hakuna kingine, kma ni kuwapenda sana watutsi mbona hakuvamia Burundi 1996 ili kuwatokomeza wahutu? Au kisa Burundi haina almasi? Vp hakuvamia CAR iliyoua watutsi huko Ituri ama hao nao sio maadui??

Ndio Siku Burundi ikiwa na Almasi,Mbao,tin ore, tantalite na tungsten ore nao ataenda kuwasaidia,for the mean time wapambane na hali yao.
 
hata sisi watanzania hatunufaiki na mali zetu, unajua Laurent kabila alimpa Kagame na Museveni magunia ya Madini mwaka 1999 kama shukrani ya kusaidiwa vita ? yani madini ya nchi za Africa yanatumiwa vibaya

Naanza kuelewa kwanini Congo vita haiishi na haitakuja kwisha kirahisi.
 
Utajiri wa Rasilimali ofcourse, shida ni kuweza kuzitumia hizo rasilimali ili ziingize pesa, shida ipo hapo tu. Ni kama sisi tunavyowekewa vikwazo vya kimazingira wakati wa ujenzi wa Rufiji, ona Lissu na Zitto wanavyotumika vibaya kukwamisha hili bwawa, ni ushenzi tu!
Kama nchi ina Demokrasia lazima maendeleo yafanyike kwa kasi.
Nchi isiyokua na Demokrasia inatumia nguvu kubwa sana kuleta maendeleo.

Kongo ilikwama kutokana na Ubabe wa Mabutu na familia yake kwa watu wa Kongo huku watu wa Chache wakiwa wanatumia muda mwingi kula raha za nchi na wengine wakiwa watumwa wao.
Hilo ndilo linaloikwamisha Afrika.
Udiikteta ni mgumu kutekelezwa kwa karne hii bila kuua sana mpaka ubakiwe na watu waoga tuuu na wanaokuunga mkono kwa kila jambo jambo ambalo sio rahisi mana Dunia na wanadamu walishatoka huko !

Hatuwezi kamwe kurudisha Afrika kwenye Udikteta kwa sababu kila kitu kinachoitwa maendeleo ni kile kilicholetwa na Mabeberu.
Hata hayo mabwawa ya Umeme sio urithi wa Mwafrika Bali ni Vitu vilivyoletwa na mabeberu. Meli ni mazao ya mabebebru,Treni ni mazao ya mabeberu, ndege ni mazao ya mabeberu , Mfumo wa kijeshi,polisi mpaka mitaala yao ni mazao ya mabeberu , Fedha ,mabenki,mikopo, mfumo wa utawala, mifumo ya kisiasa ya vyama kiwe kimoja au vingi, ulinzi na usalama wote ni mifumo ya kikoloni na mabeberu,mifumo ya mahakama ,mifumo ya bunge . Kila kitu ni mabeberu mpaka imani za hao wanaowapiga vita mabeberu nao wananyenyekea mbele ya Vatican .
Sasa kama tuna kila kitu cha Mabeberu halafu Leo wanatuambia kuwa tunakosea namna tunavyoanzisha mifumo ya kidemokrsia na namna tunavyofanya Chaguzi zetu na tunavyounda Serikali bila kushirikisha wadau wote na kuunda serikali za umoja wa kitaifa ili kila kitu tukipange wenyewe.

Hilo Bwawa la Kongo litajengwa na wachina lakini Rasilimali zao zitasombwa kwa matrilioni ya Tani kwenda China kuwanufaisha wachina huku wakongo wakiwa wanaikimbia nchi yao na kuitwa kupigana vita wenyewe kwa wenyewe.
Tatizo ni Uroho wa vyama vilivyoanza kutawala Afrika vilikosa dira za maendeleo kwa wote wakajikita kwenye kujenga misingi ya kusalia madarakani na kuwarithisha watoto wao na wajukuu zao.

Ukiwaehirikisha wapinzani wote kwenye Siasa na utawala kamwe vurugu na kutumiwa na Mabeberu haiwezekani milele.
Hata kwenye Familia baba au mama akionyesha upendeleo kwa baadhi ya watoto na kuwatenga wengine Chuki inajitokeza na Hata kutengena na kutothamini tena Mali ya familia na kuanza kuigombania.
Ndivyo wanavyofanya watawala wa Afrika.

Ni wakati sasa wa kuleta vyama vingine vyenye dira ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ili tujenge maendeleo endelevu yenye kujengwa kwa mijadala mipana ya pamoja nje ya Bunge na baadae bunge lipitishe tu mana wabunge nao wamelewa kwa ahadi za vyeo na pesa.
Hii ndiyo Afrika yenye mipango ya Mabeberu kisha wanauana ili kuitekeleza.

Hakuna mpango mpya Afarika zaidi ya ile iliyoachwa na Mabeberu na vyama walivyoviamini na kuvikabidhi nchi . Hata Mobutu alikua ni Chaguo la Mabeberu huku akishirili kumuua Patrice Lumumba.

Kama tuna Gesi na mjadala ulifanyika kwa miaka namna ya tutakavyonufaika nayo . CCM hao hao wakatuaminisha kuwa tutakimbia na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa sana huku pakiwa na Mfuko maalumu wa kuweka akiba ya Fedha kwa vizazi vijavyo . Ghafala utawala mwingine unakuja na kutuambia ule mradi ulikuwa ni wizi na ufisadi tu hauna maana tena kwa watanzania . CCM wale wale wanashangilia na kutuamisha kuwa tusiuendeleze tena. Lakini hapo suala ni kugombania pesa zinazotokana na Tenda .
Kila mmoja anawaza namna ya kuwajaza watu wa nyumbani kwakwe kwenye miradi mipya. Wivu uliopo ni kuona kuwa Walotangulia wamesha jaza watu wao kwenye miradi iliyopo. Kinachofanyika ni kuanzisha mingine tena yenye dili kubwa zaidi. Afrika hatuna mwendelezo wa alipoachia mtangulizi.

Kama tulianzisha miradi ya Gesi kwa nini tusingeikamilisha ili Fedha zake zitumike kuanzanisha miradi mingine ikiwemo ya Bwawa .
Tukiwa na serikali ya umoja wa kitaifa na sheria na katiba inayozuia upendeleo ,ukabila,udini, uvyama , Biashara kuchanganywa na madaraka,dola kujokita kwenye ukada wa chama kimoja kinyume cha katiba, kukataza wakuu wa majeshi kuwa makada wa vyama vya siasa. Baada ya hapo nchi inaweka vipao mbele vyake kwa miaka 50 ijayo kisha wanasiasa wanashindana namna ya kuvitekeleza.
Hapo hatuwezi kuvurugana na kutumiwa na Mabeberu mana kura za wananchi zitaheshimiwa na wananchi watajua nani atakatewafaa kwa sababu patakua na usawa katika kunadi Sera na kutoa taarifa kupitia vyombo vya umma.

Mfano mwaka huu watanzania kwa miaka mitano walinyimwa fursa ya kujua Sera za wapinzani kuanzia Bungeni zaidi walionyeshwa wakiwa wanapandishwa kwenye makarandinga wakiburuzwa magerezani kuonyesha umma kuwa hao ni wasaliti. Mbaya zaidi hata kwenye Kampeni hawapewi nafasi sawa na wale waliofanya siasa kwa miaka mitano.
Woga huu ndio unaopekeka taifa kwenye Udikteta kwa kuamini kuwa anachopanga mtu mmoja ndicho kinachokuwa Alfa na Omega na anayepinga anastahili kuondoshwa duniani.

Afrika tumejawa na Ubinafsi na uroho wa kutawala bila hata ridhaa ya wananchi.
CCM ilipokuja na Sera za kuvuruga Chaguzi waroho wote wa madaraka walikimbilia CCM kwa ajili ya kuneemeka huko na madaraka.
Wagombea ubunge kupitia CCM walikua zaidi ya 43,000 . Watu wanaotosha kupiga kura kwenye jimbo na kumchagua Mbunge kwenye jimbo lenye watu wengi sana . Hapo huwezi kutegemea kupata watu wenye nia ya dhati kuleta maendeleo yanayowagusa watu wenyewe zaidi ya kujikomba kwa watawala kwa lengo la kupata madaraka.
Na hata ukifuatilia kampeni za CCM zimejaa ahadi za kugawana vyeo na rushwa ya kuahidi madaraka na ajira.

.
 
Njoo kwenye uzi husika nikunyooshe vilivyo, hapa umepotea njia
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
 
Kwa hiyo wewe fikra zako zimejielekeza kwenye makalio na ndiyo maana unatoa mifano ya aina hiyo!!!!??!!
Punguza stress mzee
Screenshot_20200906-222201_Gallery.jpg
 
sana mkuu,pesa walizonazo wanawazidi hata kina Dangote ,Joseph kabila tu unaambiwa ni tajiri zaidi ya Mobutu wakati mobutu alikaa madarakani miaka 32 .yani hata hawa viongozi wetu hapa wewe waone hivo hivo tu mtu ana access ya madini yote yaliyopo hapa Tanzania kwa miaka 10 sio mchezo
ujanja wanaotumia ni kwamba unakuta rais wa Congo anaweka pesa zake Tz alafu wa Tz anaweka Congo hivo basi hamuwezi kuzigundua
Hivi biashara kubwa ya Marais ni ipi? Niliwahi kusikia tetesi majengo marefu yote Kigali ni ya Kagame.
 
Wewe utasababisha mzee ajenge jingine kubwa kuliko yote afrika tutatumia maji yote ya ziwa victoria bambavu.huu muda hatutaki kusikia sisi ni namba mbili kwa chochote
 
Back
Top Bottom