Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

DIGIDIGI TENA DAH
 
Unamzidi nini Holoya wewe?
 
Hilo kundi tukijipanga vizuri, hatuwezi kukosa nafasi ya 2. Muhimu tu wachezaji waachane kabisa na ile tabia yao ya ufather.
 
Mambo yote yanafanyika kimahesabu

Wote hao wana point 9 zetu kwa mkapa

Kati ya hao kuna natafuta mmoja wa kutoa sare naye kwake ikiwezekana na kipigo kabisa

Baada ya hapo hata unifunge goli 5 haiwezi fanya nisipite

Ni swala la hesabu tu
Kwa kikosi hiki cha akina Kibu?
 
Sure ni muda kwa club za Tanzania kuweka heshima na kupiga pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…