makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ndio hao haoHawa ndiyo waliwapiga Kipanga 7
Engrish corse ya kiarabu๐kwa anaejua,natafuta Engrish corse ya kiarabu nataka nichukue uraia wa Tunusia haraka sana.
Engrish corse ya kiarabu[emoji28]
Walivyo wa ovyo watajifungia Avic Town kucheza na Mbuni FCKwakuwa tunaanzia nyumbani inatakiwa Yanga ilete timu Dar ya kupimana mayo, lakini italeta maana kama unapata timu kutoka ukanda ule wa Waarabu.
Usijali,jumapili watafanya mazoezi taifa saa 11 jioniWalivyo wa ovyo watajifungia Avic Town kucheza na Mbuni FC
Ligi si ipo,j2 Kuna mechi ya kirafiki taifaKwa ratiba zilivyobanana saiv kuipata timu ya game ya kirafiki ni kazi sana
Yanga wanaenda kupigwa hadi wachakae kabisaClub Africain wamewahi kuchukua ubingwa wa CAFCL miaka ya nyuma hivyo sio timu ya kidharau.
Kwa akili zako timu ni Simba tu.Kwani Yanga nayo ni timu basi
Mkuu timu yako ni underdogMwaka wa tabu huu! Kuanzia tena nyumbani, siyi jambo jepesi hata kidogo kwa wananchi.
Pole MkuuSiyo mdomoni, inahitajika mikakati kabambe na Profesa Nabi Tunisia ndio kwao asituletee masihara tumeshavurugwa.
Mstaafu Kikwete miongoni mwa wawili wenye akili Yanga aliwahi Kusema.
Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho.
Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022.
Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa kuanza Februari 12, 2023 hadi.
Aprili 2, 2023
============
Wakuu droo inafanyika leo kuanzia saa 8 mchana. Kupitia Azam HD tutajua ndugu zetu Utopolo watapangiwa na nani.
POTS for CAF Confederation Cup PLAY-OFF ROUND!
POT 1
๐จ๐ฉ TP Mazembe
๐จ๐ฎ ASEC Mimosas
๐ฒ๐ฑ Djoliba
๐ฑ๐พ Ahli Tripoli
๐ฆ๐ด Primeiro de Agosto
๐ธ๐ฟ Royal Leopards
๐ง๐ซ Kadiogo / ๐จ๐ฉ Vita Club
POT 2
๐จ๐ฎ Gagnoa
๐ฒ๐ฑ AS Real
๐ฑ๐พ Al Akhdar
๐ฟ๐ฆ Royal AM
๐จ๐ฉ Eloi Lupopo
๐ฟ๐ฆ Marumo Gallants
๐ฒ๐ฆ AS FAR
๐ช๐ฌ Future FC
๐จ๐ฌ Diables Noirs
POT 3
๐ณ๐ฌ Rivers United
๐ณ๐ฌ Plateau United
๐ณ๐ช Nigelec
๐น๐ณ US Monastir
๐ธ๐จ La Passe
๐น๐ฌ ASKO de Kara
๐ง๐ฎ Flambeau du Centre
๐ฟ๐ฆ Cape Town City
๐น๐ฟ Young Africans
POT 4
๐ฉ๐ฟ USMA
๐ฒ๐ฆ RS Berkane
๐ช๐ฌ Pyramids
๐น๐ณ CS Sfaxien
๐ฑ๐พ El Nasr
๐น๐ณ Club Africain
๐จ๐ฉ DCMP
Droo itafanyika kwa Timu za Pot 1 kwa Pot 2. Pia Pot 3 kwa Pot 4. Timu 2 zitakazobaki itafanyika droo ya zenyewe kwa zenyewe.
Mungu ibariki Yanga ipangiwe kati ya Berkane, USMA, Pyramids, CS Sfaxien na Club Africain. Kisha watujibu kama hili ni kombe la looser au vepe
Updates
Young Africans vs Club Africain
Kifupi wameingia mtumbwi wa vibwengo. Ataanzia hapa kisha ugenini
Habari yako imejaa uongo mwingi,hasa pale ulipoandika wanamiliki uwanja wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 60,000/=Yanga wamepangiwa hatua ya mtoano dhidi ya Club Africain ya waarabu. Hawa ndio wale waliowapiga Kipanga FC 7-0 huko shirikisho.
Club Africain ni timu Kongwe na walishatwaa ubingwa wa Klabu bingwa Afika mwaka 1991. Hawa jamaa wanamiliki uwanja wao unaobeba watazamaji 60,000/= kama kwa mkapa tu. Wapinzani wao wakubwa na wanaocheza nao derby ni ES Tunis na pia wana upinzani wa jadi na Etoel du sahel na MC Alger ya Algeria.
Club Africain ni timu inayocheza kwa mbinu za hali ya juu wakiwa ugenini huwa wanacheza kwa tahadhari ya kutopoteza mchezo na wakiwa nyumbani huwa wanaachia majini yao yote na ndio kilichomkuta kipanga.
Yanga wasichukulie kuwa hawa ni wepesi kwa kuwa kwenye ligi yao walimaliza nafasi ya 4. Tunajua wenzetu uwekezaji wao ulivyo hata timu za chini zina uwezo mkubwa.
Tarehe 2 November itakuwa kipimo kingine kwa Yanga ambao kwa hapa ndio underdog na wataanzia tena nyumbani kama kawaida.
View attachment 2391040
Al Hilal ile ya Omduman?! Kama ndiyo hivyo mwaka huu Yanga kazi wanayo[emoji196]View attachment 2391032
Sasa kama ni uongo wewe weka taarifa sahihiHabari yako imejaa uongo mwingi,hasa pale ulipoandika wanamiliki uwanja wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 60,000/=