Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

Huku tunaenda ziwani kuloa samaki, tunachemsha na kula na viazi vitamu vya kumenya wakati wa kula!
Ushauri wangu kwako. Tafuta exposure! Ukiwa na uelewa na ufahamu mzuri wa mambo utaishi vizuri sana
 
Embu tupe ushahidi wa Mwarabu kuwekeza Ngorongoro.

Tupe pia ushahidi wa Kikwete kusaini mikataba 300 na china
Wewe ulikuwa wapi wakati rais wa china anakuja magogoni?tafuta taarifa ni mikataba mingapi ilisainiwa,sio kila kitu unatafuniwa kama kinda la ndege.
 
wajanja washanusa kuna shamba la bibi mahali fulani!
 

Ni jambo jema,hicho kipengele cha Utalii isijekuwa kuuza Ngorongoro
 
🙏🙏 Asante Sana mh.Rais umewaaibisha wapumbavu.

Niliandika mara kadhaa kwamba Samia sio mshamba wala hafanyi safari za kwenda kujua Nchi,alishasafiri Sana kabla na yeye alisema.

Ukiona katoa mguu ujue kuna pesa,safi Sana mh.SSH..

Ukirudi Bongo uje uanze na ma DED wa walaya ambako watumishi hewa wamebainika na ikibidi fumia Idara ya ajira huko wizarani.
 
Asante sana kutujulisha sisi wananchi.Tunazidi kuwa na uhakika wa ajira.Wananchi wanafuraha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa ambalo Rais wake anawekeza katika ufisadi haliwezi kamwe kufua dafu katika maendeleo hata lisaini mkataba wa uwekezaji wa trilioni bilioni moja🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Ameuza Ngorongoro wa nani? Shilingi ngapi? Tupe huo ushahidi wako
Achana nao hao,wako wanawake ukiwaoa,hata uwafanyie mema gani,hawaishi kulalamika,na wako wanaume,hata wafanyiwe mema gani na wake zao hawaishi kulalamika.Muhimu,ukisikia kelele ,huyoo huyoo huyoo,wewe endelea na safari yako(Mwalimu Nyerere).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kutumia tu mfano wa Zimbabwe kuhalalisha wawekezaji inaonyesha ulivyo na upeo mdogo kuhusu maendeleo ya nchi. BTW unaona unavyokinganya mwenyewe kuwa waliondoka na Zimbambwe ikafa? Huoni hii ni sababu ya msingi kabisa ya kuona kuwa nchi inatakiwa ijijenge yenyewe ili isitegemee wageni wanaoweza kuondoka muda wowote?
 
Endelea kujidanganya. Nchi gani duniani imeendelea bila foreign investment?
Foreign Investment zijakataa. Mimi nakataa pale ambapo rais anaabudu na kudhani kuwa kuzunguka huko na huko kuokokoteza ''wawekezaji'' ndiyo njia pekee ya kuendeleza nchi. Uwekezaji ufanyike lakini kwa hatua tena kwa tahadhari.
 
Uwekezaji unafanyika bongo saini zinaanguka umangani. Kasi iendelee maana muda hautoshi
 
Fungua nchi Mama Samia. Nchi inahitaji mitaji toka nje ili izalishe ajira. Cha msingi ni kukwepa mikataba ya kitapeli na kifisadi.
Yaani anajitahidi,ila asije tapeliwa kama ile mikataba alishuhudia ya meli kule Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…