Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

Siyo kweli

Ukimuona mzee Butiku unaweza kusema ni wa kawaida.

Kumbuka mawaziri wakuu wengi ni teeth, Mizengo mmoja wapo.
Mizego anajulikana sana na yuko lank za juu za teeth lakini hao bado kuna wengine watatu nao wajua wakisogea hapo najua hii ngoma imekua ngumu
 
Smart Genius, codes zimeundwa kwa kutumia akili.

The words are twisted, but they give a sound which reasonates with their correct spellings.

Kumbe ndo mfanyavyo huko TEETH?

Janja janja tu.
Hakuna codes za kutumia akili hapo ni uswahili tu labda kama ni kilaza ndo utashindwa kuelewa...

Huyu jamaa sasahivi anatafuta attention tu hana taarifa sahihi kwasasa anafanya kubashiri tu na kutulisha matango pori.
 
Rudia kusoma ulicho kiandika CHAWA WA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…