Hataree, wenzetu wamebarikiwa sana siye tumekalia umbea!!Imagination.... ila huyo mtoto anasauti mpaka inanichanganya!
Waulize Hilo duka lipo wapi tukamuuungishe, wakikujibu ni tag, akili za mafukara zinajulikana tuKwanza hizo story za duka naona wafuasi wake wanampamba tu hapa, hana lolote.
Mtu mwenye km yeye awe na mishe ya kumuingizia kipato, badala awe buzzy, labda hajaridhika na hapo alipo.
ππππ
Anadhalilisha watu, ashtakiwe...ni kweli tunapinga ushoga lakini kumdhalilisha mtu ambae hujawahi kumshuhudia akifanywa hivyo ni ujuha...anazidisha masifa, ashtakiweMsanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.
Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.
Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.
Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?
Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?View attachment 3674295
Hahahahaaaa hapo lazima nyoka atoke pangoni....Hataree, wenzetu wamebarikiwa sana siye tumekalia umbea!!
Hakuna na ushahidi Hana,huyu kaka ni chizi.Mtu aliyeweza kuongea hadaharani kwa mwanae kwamba alimkaza mama yake kwenye treni ndo akazaliwa. Nyie mnamuona yuko timamu??
Yeye apige muziki watu waburudike habari za kusema mtu chakula yeye alimla?
Anapenda sifa akiona watu anawehuka.Ana muharibia si ange mfata pembeni kama mtu na mdogo wake, yani kuwa na makaka kama hawa wenye akili za hapahapa mtihani sana
Uko sahihi.Ommy Dimpoz mbona Hana tofauti na Diamond au Ali Kina, wote wanaume wa kijipamba tu...labda wote ni mashoga
πππWaulize Hilo duka lipo wapi tukamuuungishe, wakikujibu ni tag, akili za mafukara zinajulikana tu
Ukute yeye ndio analiwa, ila anajihami.Mtu aliyeweza kuongea hadaharani kwa mwanae kwamba alimkaza mama yake kwenye treni ndo akazaliwa. Nyie mnamuona yuko timamu??
Yeye apige muziki watu waburudike habari za kusema mtu chakula yeye alimla?
Sema wewe uduguu, mie nachoka kabisaa, ππππΉπΉπΉ Duka la jumla?
Nikitaka piece laki moja napata dukani kwake?
Mna utani na maduka ya jumla nyie..!!
Kichaa huyo ndio maana wanampuuza.Juzi tu hapa alikua anashindia energy drink, ana maisha gani ya kuharibia sifa wenzake si ange mfata pembeni wakaongea kama mtu na mdogo wake
Sio hivyo, wanasema hajawahi kuonesha mwanamke wake wala mtoto.Uko sahihi.
Ommy Dimpoz walimuanzishia Zengwe baada ya kuonekana anasafiri sana kwenda ughaibuni watu wakaanza kumchimba na kuhoji anafanya biashara gani,yaani kibongobongo ukiwa na hela halafu biashara yako hujaiweka wazi watu wanakushuku vibaya
Hata kama angekiwa na Dunia nzima kama afya (ya akili) haiko sawa ni ubatili mtupu. Wamsaidie kwanza kutibu afya ya akili.Ngoja nikumegee kidogo π₯± π₯± mkuu,mamba ana duka kubwa la nguo za jumla na reja reja
Kuna mtu amekuelewa unachosema?ila dudu kama hata kula nae hapo mbeleni yupo kuliwa. Alafu atadhalilishwa hivi hivi
Ndiyo hapo sasa watu wanayasahau mambo ya msingi yanayotokea kwa mustakabali wa taifa sembuse upuuzi, jamaa sometimes ana chuki zisizo na maana tu.Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
ππππ Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Haliko vibaya ki hivyo bwana!Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
ππππ Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Chuki hizo ni sababu ya UMASKINI, uliotokana na kutowekeza wakati akiwa ktk peak yake.Ndiyo hapo sasa watu wanayasahau mambo ya msingi yanayotokea kwa mustakabali wa taifa sembuse upuuzi, jamaa sometimes ana chuki zisizo na maana tu.
Liko vibayaa,Haliko vibaya ki hivyo bwana!
Pisi laki moja hata ungeenda kwa yule jamaa wa Room of Jeans hana.πΉπΉπΉ Duka la jumla?
Nikitaka piece laki moja napata dukani kwake?
Mna utani na maduka ya jumla nyie..!!
Kwakweli.Too much is harmful