Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Kwanini wanawake mnayapenda mashoga?Sijui yukoje huyu, ana wivu tokeapo wala sio mgeni huyu, Lol
Wanawake kwanini mnawapenda mashoga?Mtu aliyeweza kuongea hadaharani kwa mwanae kwamba alimkaza mama yake kwenye treni ndo akazaliwa. Nyie mnamuona yuko timamu??
Yeye apige muziki watu waburudike habari za kusema mtu chakula yeye alimla?
Wabongo wamsingizie Ommy kwanini?Dimpoz mwanangu sana na anapenda sana kukaa kwenye Bnb zangu kule Zanzibar, nilishawahi kuleta uzi kuhusu lifestyle yake na izo claims za kuwa yeye ni shoga ila nilishambuliwa sana.
Honestly sina uhakika kama anamegwa ila sifikiri kama kuna msanii anaongoza kwa kumiliki pisi kali hapa Bongo kupita Ommy Dimpoz.
Mimi ni Team Mambazz 24 ila mliokaribu nae mshaurini apunguze bangi
Unao ushahidi kuwa ni shoga au umasikini tu unakusumbua ?Wabongo wamsingizie Ommy kwanini?
Ommy ana nini hadi asingiziwe jambo asilolitenda?
Sawa dogo endelea na uchizi wako tuone kama utakusaidia. Good dayKwanini watetezi wa ushoga wa Ommy mnaamini sisi wengine ni masikini?
Ok, nikiwa masikini siwezi kuuona ushoga wa Ommy?
Why are you gay mkuu?
Hujisikii vibaya kutombwa na una pumbu?
Dogo bibi yako.Sawa dogo endelea na uchizi wako tuone kama utakusaidia. Good day
Kajenga na kweli Hana njaa alishaenda India Kwa garama zake ajaomba mtu baada ya kuona kifaa cha muhimbili ana mashaka nachoNa hana njaa
Hivi huko Bahari beach kajenga au kapanga?
Kwenye biashara yupo vyema,ila watu wanashindwa kumuelewa n kutokana na harakat zake alizo zianzishaAnauzaga t shirt za mamba ila sidhani kama ana discipline ya kuendesha biashara kubwa....yupo messed up
Wasanii wengi ikitokea kwenda India hupitisha bakuli kwake uliliona ilo?Sasa kuwa na duka kubwa la nguo za jumla na reja reja ndio umfananishe na Ommy? Hilo Linaonea wivu waliomzidi mafanikio.
Hata abwate miaka buku hamkuti kwa lolote Dimpoz.
Sasa utak unadhan garama kwanzia usafiri kula na matibabu kwenda India na kurud m rahisi ivyo,ukipata jibu pigia mstari apo mkuuπππΉπΉπΉ Duka la jumla?
Nikitaka piece laki moja napata dukani kwake?
Mna utani na maduka ya jumla nyie..!!
Nashangaa mnaoshangaa kinachosemwaDimpoz mwanangu sana na anapenda sana kukaa kwenye Bnb zangu kule Zanzibar, nilishawahi kuleta uzi kuhusu lifestyle yake na izo claims za kuwa yeye ni shoga ila nilishambuliwa sana.
Honestly sina uhakika kama anamegwa ila sifikiri kama kuna msanii anaongoza kwa kumiliki pisi kali hapa Bongo kupita Ommy Dimpoz.
Mimi ni Team Mambazz 24 ila mliokaribu nae mshaurini apunguze bangi
miss eyes yuko wapi mzeeNashangaa mnaoshangaa kinachosemwa
Wala hiyo sio sababu ya watu kusema hivyoSio hivyo, wanasema hajawahi kuonesha mwanamke wake wala mtoto.
Wanamtilia shaka hapo.
Sio mm tu ata mdau anae nunua nguo kwake amecoment apoMajinga ni mengi hii dunia, muulize huyo dogoli tukimwambia akatuoneshe Hilo duka atatupeleka, au naye anasikia tu
Yupomiss eyes yuko wapi mzee
Tatizo naye ana skendo ya kugombea basha.Huyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
ππππ Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.