Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 745
- 395
Alishawahi kujiita majina yote hayo:Akijiitq Dudu Zuri mambo yatamwendea vizuri
Dudu zuri ..
Na mengine mengi... Lakini kumbuka dudu ni dudu tu hata liweje.😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishawahi kujiita majina yote hayo:Akijiitq Dudu Zuri mambo yatamwendea vizuri
Kwani huyu jamaa diamond alishindwa kumnyanyua awe chawa wake
watu mnafika mnaanza kujaji haya hamjui chanzo cha tatizo ni nini.Kila siku tunakosoa malezi ya singo mazas humu,, haya malezi ya singo fazas hayo,,
Ata kama Ulikua hauna mpango wa kucheka lazima uchekeAkijiitq Dudu Zuri mambo yatamwendea vizuri
HatariKonki!, Konki!, Konki Master!!
Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata
Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake .
Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine
Amedata kiakili analala Nje , mchafu hana nguo , akili haifanyi kazi .
Unfortunately Baba yake anapitia kipindi kigumu cha kiuchumi .
Nadhani something is wrong.
Mwanangu hauna nidhamuHuyo dogo babake alimshindwa muda sana, nakumbuka kama miaka 2 au 3 kuna namna mzee wake aliongea akasema amemuacha afanye maisha yake, maana hakutaka shule wala kuwa chini ya usimamizi wa mtu.
Huyu ndiye yule aliyekuwa akimtukana Godfrey Tumaini?( Dudu baya alidai ni shinikizo kutoka kwa mzazi mwenzie) .Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata
Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake .
Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine
Amedata kiakili analala Nje , mchafu hana nguo , akili haifanyi kazi .
Unfortunately Baba yake anapitia kipindi kigumu cha kiuchumi .
Nadhani something is wrong.
Mmhh kama wanakunywa mpaka gongo basi hapo hatuna watotoWanaita pombe kali jina lingine ni gongo. Inakuwa nyeupe kama konyagi ila ni ya kienyeji.
Aliwahi kulizungumzia hili kuwa huyo mzazi mwenzie anamtuma huyo dogo akamtukane ili jamaa achafuke kweli.Ila Dudu Baya alimpenda sana huyo mwanae Wille, katika ngoma zake nyingi kabla hajachuja lazima katika verse amtaje huyo dogo.
Naskia baada ya kuzinguana na mzazi mwenzake, dogo akawa analishwa sumu za kutosha na maza ake ndipo Dudu akaamua na yeye amkache tu. Ni story ndefu kiaina.
Ni akili tu ya mtu,nina jamaa yangu anavuta bangi,akili yake iko vizuri tu na ni mtu na ofisi yake inayoendeshwa vizuri tu.Kweli kabisa. Na bangi huwa wanaanzia shule ya msingi au akichelewa anaanzia O - level. Mdogo wangu akiwa darasa la 3 kuna mtu alinitonya kuwa dogo wako anakula ganja nikamwona kama snitch kwa sababu dogo mtulivu na ana adabu mno nyumbani. Tumekuja kujua kuwa ni kweli dogo yuko form 3. Ilikuwa too late.
Mkuu kamwe sitakubaliana nawe katika hili. Bangi ni mbaya na hakuna justification yoyote ya kufanya iwe nzuri.Ni akili tu ya mtu,nina jamaa yangu anavuta bangi,akili yake iko vizuri tu na ni mtu na ofisi yake inayoendeshwa vizuri tu.
Sio kweli wengine basi tu maisha ndio vile ila kuna mtoto namfahamu alipitia changamoto km unazosema Baba yake kabla hajafariki maana alikua na Pesa angalau maana alikua na kampuni ya malori ya kusomba mchanga kwa hio alihakikisha kabla hajafa mwanae anapata muendelezo wakamuozesha akajengewa nyumba ina kila kitu ndani akapewa na usafiri wake na mashamba baada ya mwaka mzee wake akafa, sasa hivi dogo kabadirika hatumii tena mihadarati anaendesha maisha yake vizuri tu na ana mtoto mmoja wa kiumeNa mtu akiwa stage hiyo hata umnunulie simu atauza nguo atauza ukijikoroga umpe pesa ndio umemuua kabisa atalewa huyo. Kwahiyo inafika mahali inabidi muangalie tu. Kwahiyo tusione kama hawasaidiwi bali wengi wao hawasaidiki.
Una uhakika hatumii kabisa?Sio kweli wengine basi tu maisha ndio vile ila kuna mtoto namfahamu alipitia changamoto km unazosema Baba yake kabla hajafariki maana alikua na Pesa angalau maana alikua na kampuni ya malori ya kusomba mchanga kwa hio alihakikisha kabla hajafa mwanae anapata muendelezo wakamuozesha akajengewa nyumba ina kila kitu ndani akapewa na usafiri wake na mashamba baada ya mwaka mzee wake akafa, sasa hivi dogo kabadirika hatumii tena mihadarati anaendesha maisha yake vizuri tu na ana mtoto mmoja wa kiume
Wataelewa waache waendelee kujitoa ufahamu hivyo hivyodudu baya alimsomesha Huyo mtoto st marys za mama lwakatare. Enzi hizo st marys ndio shule ya kishua
Namuelewa sana LIKUD anavyosemaga kwamba kusomesha watoto shule za gharama sio sahihi kama mzazi hujawekeza miradi na rasilimali za kuwapa uhakika wa maisha ukubwani