Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

Hivi magufuli kama asingekufa na akaendelea na madudu yake haya,halafu akaja kustaafu kama marais wengine,hizi tuhuma zingekuja ibuliwa?na kama zingeibuliwa muhusika angejisikiaje?
Jela ingemuhusu
 
We ni tahila dada,
 
Halafu Kuna mijitu humu eti inakuambia alikuwa kiongozi mzuri!
 
Kwani zile barabara na madaraja ulizani wanajengea matko!?
Dar slum tulikua tunakaa kwenye foleni masaa,
Ile jam ilikua inakula mda wetu wote,
Sasa hivi hatuoni na tumesahau kabisa...

Mwendazake alikua shujaa wa Africa.
Natamani angeendelea kuwepo akwapue zaidi afanye maendeleo.

Haya yaliyopo saiz ni vituko.
Tuendelee kutoa tozo kwa moyo mmoja.
 
Magufuri alikuwa ni mpiga dili na aliwachukia matajiri pamoja na wasomi.....mali alizodhurumu magufuri sijui alizificha wapi!....kwa sababu hata ukifika chato bado kunanuka umasikini any way chato huwezi hata kuilinganisha hata na babati...
 
Miaka ya 80's kuna watu walifungwa na mali zao kuchukuliwa kwa kisingizio cha uhujumu uchumi....baadae miaka ya 90's wakati wa Mzee Mwinyi hii kitu ili backfire na serikali ikalazimia kuwalipa wahanga wa hili saga....huenda historia ikajirudia kwa hili..japo sina imani sana nikikumbuka hadi leo sijui nini kiliendelea kutokana na ripoti ya pesa zilizotumika kwa mazishi....
 
Kwa vile hayupo kujitetea? Walipomtaja Yusuph Manji na Kabendera nkajua walewale!!! Kikulacho?
Tufanye wewe unajuwa makosa ya Eric Kabendera, naomba uyaweke hapa tuyadadavue. Kinyume na hapo funga Domo lako kubwa kama bakuli.
 
Ni CCM tu ndiyo kizuizi cha kushitakiwa watu kama Magufuli (posthumously), Makonda, Biswalo Mganga na akina Bashiru Ally, Dotto James nk. Huko mbelekwenye katiba Mpya na CCM ikiwa nje ya madaraka, sioni namna hao niliowataja na wengine watakavyokwepa mkono wa Pilato
Hivi hakuna namna yoyote ya kumfungulia kesi huyu jamaa hata kama kafa ?
 
Kwa ninavyomjua Rais SAMIA,fedha zao hao watarudishiwa ,japo sio zote
Huyu huyu Makamu wa Magufuli aliyemteua ruga ruga wa Magufuli, Biswelu Mganga, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu! Kwa kweli akili zetu Watanzania ziko likizo.

Kwa mbali nakumbuka Chadema walivyopinga kuapishwa kwa huyo Biswelo Mganga kuwa Jaji, je nani aliwasikiliza? Kwa kweli ndege wafananao huruka pamoja!

Halafu wale wanafiki waliopinga msimamo wa Chadema eti hao hao leo wanathubutu kutenganisha matendo ya Magufuli na mrithi wake, kwa kweli nachokaa!

Hebu pitieni hapa...

Tamko la CHADEMA kuhusu uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji …

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…