Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

Huko pote mnasumbuka tu. Shida ni umasikini, and we are poor because we're poor.
 
Jambo usilolijua ni kuwa waliosoma wengi masomo ya sayansi hapa nchini wamekariri nje ya walichokariri Hawana la ziada.
Tofauti na waliosoma masomo ya Sanaa ambao hutumia Akili zao wenyewe katika kufanya na katika Maisha Yao.

Wanasayansi wengi Duniani hawakuwa na huo upeo wa kuwashinda Wanasanaa, isipokuwa wanasayansi ni vibaraka wa Wanasanaa tangu Dunia imeumbwa.
 
Mfumo hautaki wenye akili kuendesha
Mambo

Ova
 
Low IQ aliyekwambia kazi ni Goverment admistration tuu ni nani?
 
Mara nyingi aliyesoma sayansi hata arts alikuwa kipanga kukuzidi we we uliyesoma arts without any option. Yeye alikuwa na options zote akaamua kwenda sayansi tu ila wewe sayansi ilikushinda ndo maana ukaenda arts without option.
 
Hapana. Mi nimechukulia shule niliyosoma. Watu wa sayansi hata arts walikuwa wanawaburuza sana wale walispecialise kabisa arts kwa sababu sayansi hawawezi ila mwanasayansi vyote alikuwa Yuko fit sema ndo hivyo tena A level lazima uchague combination whether you are bright af all subjects or not. Ingekuwa hakuna combination wanasayansi wangeburuza kila SoMo hata art yako
 
Wasio na akili wengi wanadhani ukiwa kwenye media na madaraka.ndio kufanikiwa😅😅
 
Kuna kitu unashangaza sana.🤔
 
Mara nyingi aliyesoma sayansi hata arts alikuwa kipanga kukuzidi we we uliyesoma arts without any option. Yeye alikuwa na options zote akaamua kwenda sayansi tu ila wewe sayansi ilikushinda ndo maana ukaenda arts without option.

Mimi nimesoma masomo kumi na Mbili. Sasa kama kwenye masomo kumi na Mbili hakuna ya sayansi basi upo vizuri Sana. Yote nilifaulu. Na nimesoma shule za Kata. Huko Sayansi zaidi ya uwezo wa kukariri sijaona la ziada.

Advance nimesoma Arts.
 
Hakika, inasikitisha sana.
 
Mimi nimesoma masomo kumi na Mbili. Sasa kama kwenye masomo kumi na Mbili hakuna ya sayansi basi upo vizuri Sana. Yote nilifaulu. Na nimesoma shule za Kata. Huko Sayansi zaidi ya uwezo wa kukariri sijaona la ziada.

Advance nimesoma Arts.
Kusoma kumi na mbili siyo issue je ulifaulu? Isikuwa ulipeperusha bendera maths, physics na chemistry na bology
 
Hii nchi watu wote tunaonekana hatuna akili kwa sababu wengi tunapambana angalau tule na pa kulala njaa bado zinatutesa na utitiri wa majukumu .

Siku nikiwa raisi ntahakikisha swala la kula au kulala kila mwanachi anaweza kulimudu apo ndo tutaanza kuona uhalisia wa akili za mtu
 
Unazungumzia data ambayo ni outlier. Data iliyojitenga. Data ambayo haiwezi kutumika kufikia hitimisho la data KWA ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…