Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mnasimulia vita kama mpira wa Simba vs Yanga wa tarehe 8...Mimi naona ni kinyume chake! Dunia itashangazwa na kile ambacho Israel itaifanya Iran.
Nadhani Ile plan ya Israel kuharibu vinu vya nuclear vya Iran itakuwa imekamilika.
Lazima ujue hiyo ndiyo plan ya muda mrefu ya Israel,na hapo Iran ilikuwa inatafutwa iingizwe kwenye 18 za Israel.
Si mnasemaga iran anamuweza USA 🇺🇸 sa tatzo nn si ndo watandikwe wote sasa au vp....Israel kinachompa jeuri ni USA na ulaya. Otherwise wangetoshana nguvu.
Gaidi ni huyo Israel wako na USA.Myahudi akipiga huwa hata hakohoi, tunashtukia habari tu tayari, ila hao wafunga vilemba sasa....
Mnafadhili magaidi bila aibu halafu ulimwengu uwatazame tu, wajinga sana hao.
Yaliyomkuta yule mtawala wa misiri mwaka 1967 huenda yakamkuta ayatolah mwaka 2024Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Usifananishe situation ya Iran na mwanamke.Angekua na mpango wa kufanya kweli asingetangaza. Ulisikia mtu akitangaza kwamba Haniyeh atatolewa kafara au rais wa Iran atauawa? Ogopa MTU mkimya. Mpuuze mtu anayeongea maneno mengi Kama mwanamke.
Hata nyumbani, ukiwa na mwanamke anayeongea ongea Sana, jipongeze. Ukiwa na mke mkimya, my friend be very careful, very very careful. Mwanamke unarudi saa nane za usiku hakuulizi, be very careful.
Iranian retaliation to be from the same playbook as their Apr. 13 attack on Israel — but potentially larger in scope — and it could also involve the Lebanese Hezbollah.inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL,
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki,
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari,
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL .
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
💯💯Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Hali ya hatari iliyotangazwa na Israel ni ya HOFU ILIYOPITILIZA.Mnadanganyana huyo Iran ana silaha zipi za maangamizi ambazo Israel hana? Iran akiingia kichwa kichwa anakuwa kichwa, hana uwezo wa kuzuia air force ya Israel atatandikwa hadi achoke, na utawala wake utaanguka. Sikio la kufa halisikii dawa, mark my word. Wasifikiri Israel amekaa kihasara eti anasubiri apigwe na makombora ya Iran, kutangaza hali ya hatari ni kawaida, nchi ikishakutishia lazima uchukue tahadhari kali, hapo mossadi watakuwa kazini kitambo.
IF you live long enough (big IF).Yes, I want a story to tell my children
Gamel Abdel Nasser alifariki 1970 kwa kuumwa.Yaliyomkuta yule mtawala wa misiri mwaka 1967 huenda yakamkuta ayatolah mwaka 2024
Watu wanaona akinya kuku tu (Israel) ila akinya bata (Iran) basi kaharisha.Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Life has no meaning a priori. It is up to you to give it a meaning, and value is nothing but the meaning that you choose.IF you live long enough (big IF).
Dead men tell no tales brother!
Nuclear waitoe wapi IranHivi Iran walishafanikiwa kuwa na silaha za nyuklia?
WHO KNOWS is the big IF I'm talking about brother!Who knows? Life could have no meaning if IF is our first thought.
maneno meengi, myahudi amekaa standby kujibu mashambulizi, waache maneno, tunataka vitendo.Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Israel inaingia mpaka Sebuleni hapo Iran na amna kitu🤣🤣 Iran kama kidume alianzishe tu hii Mikwara aisaidii kitu! Israel anamlia timing ajaribu tena kutuma makombola amalizane na vinu vyote vya nyuklia hapo Iran!! Yemen Mida hii anatafuta Mwekezaji kwa Utaratibu wa EPC+F kujenga Kiwanda cha kusafisha mafuta na Matangi ya kuhifadhi Mafuta🤣🤣🤣Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.