Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mnasimulia vita kama mpira wa Simba vs Yanga wa tarehe 8...Mimi naona ni kinyume chake! Dunia itashangazwa na kile ambacho Israel itaifanya Iran.
Nadhani Ile plan ya Israel kuharibu vinu vya nuclear vya Iran itakuwa imekamilika.
Lazima ujue hiyo ndiyo plan ya muda mrefu ya Israel,na hapo Iran ilikuwa inatafutwa iingizwe kwenye 18 za Israel.