Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

Ni kwanini itokee tarehe fulani tu za kila mwezi na pia mbona miaka ya nyuma hakuwa hivyo.

Pia Kuna tukio liliwahi kutokea shule ya jirani tu. Ni shule ya bweni usiku wanafunzi wakiwa wanajisomea Kuna kitu kiliwapata baadhi ya wanafunzi waakanza kufanya vituko hadi walipokuja kuombewa.
 
usikate tamaa unapokata tamaa ndiyo anakua ameshafikia maamuzi sahihi 😂😂, unajua kiana nakupambania halafu unakata tamaa, nenda faraga mkuu mambo mazuri huchukua muda🤣
🙌🙌Ntakimbizwa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…