Katika upande huo kweli anazingua Hajui kitu kuhusu ulimwengu wa majini na mizimu but hivyo vitu vipo kweli Tena ni hatari nzitoWe umejuaje kama Bakhresa na Mo hawaamini habari za majini?
Siku mtafute mtu aliyepandwa na majini halafu muulize kuhusu habari ambazo unaamini kuwa hakuna anayezijua isipokuwa wewe mwenyewe hapo ndo utajua hujui
😄😄Sasa kwani lazima kila mtu apandwe na majini?
Mbona mimi sijawahi kupandwa na majini?
Naona shetani umekuja 😄Wewe ni mmoja kati ya hao uliowataja?
Uongo ni Kwa Kila mtu but hujui kuhusu wao kwakuwa you're not in there circle mtu anakuuliza habari za Mo au bakheresa ameshawahi kukaa na bakheresa!?Au labda tuseme majini wanachagua watu maskini?
Ila kuwa na majini sio lazima upandishe
💯🎯Ninavyojua mimi kuna ambao wanakuwa na majini kweli na kuna ambao wanaigiza tu
😄🤣🤣Wasanii tu hao, kilimo cha jembe la mkono huku unategemea mvua ni kigumu sana.
😄Kuna watu wanajua kuigiza aisee
Huyo binti ana kipaji..
Hakuna pepo hapo Wala shetani Wala mungu
Hiyo ni Sanaa kazi kwenu mapimbi!
Kuna watu wanajua kuigiza aisee
Huyo binti ana kipaji..
Hakuna pepo hapo Wala shetani Wala mungu
Hiyo ni Sanaa kazi kwenu mapimbi!
Mpe mwenzio acha uchoyoJimbo hajui hata jinsi yangu😵💫 ashindwe IJN 🙀
Hahaha kanyimwa nini?Mpe mwenzio acha uchoyo
😄 Kifuniko Cha asaliHahaha kanyimwa nini?
Ndo nini iko?😄 Kifuniko Cha asali
TamtamNdo nini iko?
Mi siijui kwakweli😆Tamtam
Aina ya bomu la missile kutoka IranNdo nini iko?
Mambo hayoo😍Aina ya bomu la missile kutoka Iran
🥰Mambo hayoo😍
View attachment 3555139
Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts.
Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini such kind of issues zipo common kwa walokole?
Mtu Mwenye Jini Harekodiwi Audio Wala Video...Kwamba wenye majini wote wanaigiza au?
Hapo Hakuna Hayo Ni Maigizo,Kama Jua Kali Tu...Jini Harekodiwi Si Video Wala Audio