Duru za Uchaguzi Afrika Kusini. Umokhonto We Sizwe

Kwa mujibu wa msemaji wa chama cha MK cha Jacob Zuma kadai kwamba ili chama chochote kiweze kuungana nao lazima wakubali kumfutia mashitaka Zuma na zuma asimame kama Rais ili agombee je Ramaphosa atakubali ilo litokee.
 
ANC waungane na EFF Kisha DA na MK wawe wapinzani huku Malema akiwa Makamu wa Rais
 
SA ina changamoto ya maji?
SA umeme unakatika kama nchi fulani?

Bora Makaburu wakabidhiwe usukani kabla hakujaharibika kabisa.
 
Kuwa rais hakuhitaji kuunganisha wabunge na chama kingine, ila kuunda na kuongoza serikali.
 
JK angekuwa muangalizi angeishia kuwa chawa wa ANC.
 
Hiyo nchi wangeikabidhi DA ndio watarudisha hadhi ya South Africa. Hawa Viongozi wa ANC ni mafisadi tu. Akina Zuma Wana kesi za Ufisadi huyo Ramaphosa almanusra atolewe kwenye Urais kwa Kura ya bunge ya kutokuwa na imani naye.
 
Hivi wazungu wa south africa wale makaburu wako wapi siku hizi? Warudi tena kivingine kuongoza nchi hiyo. Hawa wazalendo wameshindwa tangu waachiwe nchi waongoze ni abracadabra tu
Kabisa wa SA wakiacha mara moja yale mawazo ya zamani weupe na weusi na kuweka maslahi kwa mara ya kwanza kwa Taifa mbele basi wangechagua kwa nguvu Democratic alliance hichi chama cha wazungu unaweza kusema ila na uhakika wangeirudisha SA sehemu yake inayostahili. ANC ni group la watu wenye njaa wanapokezana kula tu wenyewe kwa wenyewe.
 
Kwa mujibu wa msemaji wa chama cha MK cha Jacob Zuma kadai kwamba ili chama chochote kiweze kuungana nao lazima wakubali kumfutia mashitaka Zuma na zuma asimame kama Rais ili agombee je Ramaphosa atakubali ilo litokee.
Ahaaa haaa hawezi kukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…