Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #41
Kabisa mkuu wangewapa nafasi mara moja wajaribu waone kwa sababu hao ANC wameshindwa.Kabisa wa SA wakiacha mara moja yale mawazo ya zamani weupe na weusi na kuweka maslahi kwa mara ya kwanza kwa Taifa mbele basi wangechagua kwa nguvu Democratic alliance hichi chama cha wazungu unaweza kusema ila na uhakika wangeirudisha SA sehemu yake inayostahili. ANC ni group la watu wenye njaa wanapokezana kula tu wenyewe kwa wenyewe.
Ufisadi mkubwa kama kipindi kile cha Gupta's family.Ufisadi south African airways ilikuwa moja ya kampuni kubwa sana ila leo inasusua sua tu.
Julius Malema sidhani kama atakubali. Si unajua siasa na falsafa zake.ANC waungane na EFF Kisha DA na MK wawe wapinzani huku Malema akiwa Makamu wa Rais
Ni kweli mkuu.Kinachomuweka ANC juu ni historia ya ukombozi SA nje ya hapo Hana jipya. Miaka Ishirini ijayo ANC itatolewa madarakani maana kundi kubwa la vijana halitaijua hiyo Historiaa.
Sure nothing is permanent.Ila nakubali sana south wanajielewa ndani ya miaka 30 upepo unawageuka ANC walifikiri watawadanganya watu siku zote
ANC hawatofautiani kabisa na CCM katika fikra na matendo yao.Ila nakubali sana south wanajielewa ndani ya miaka 30 upepo unawageuka ANC walifikiri watawadanganya watu siku zote
CCM haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania ili iendelee kubaki madarakani.ANC kwa mara ya kwanza katika Historia Wananchi wameanza kuitosa bado Mambumbumbu ya CCM nayo yaonyeshwe Mlango.
Iko siku tutapigia Kura Ikulu.CCM haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania ili iendelee kubaki madarakani.
Kizazi kipya cha vijana wapigakura ndio maana anc wanapoteza ushawishi. Hao vijana ndio wanapitia magumu na ukosefu wa ajira. Lazima kizazi kipya kichague chama kingine.ANC kwa mara ya kwanza katika Historia Wananchi wameanza kuitosa bado Mambumbumbu ya CCM nayo yaonyeshwe Mlango.
Kwanini ANC wanaogopa kuiba na CCM inaiba au kwasababu sisi Watanzania ni MambumbumbuCCM wanashinda kwa wizi wa kura.
South Africa Kuna mifumo ya ki-Utawala ya kidemokrasia, mazingira siyo rafiki kabisa kwa kufanikisha dili la wizi wa kura. Mianya yote ya wizi wa kura imezibwa.Kwanini ANC wanaogopa kuiba na CCM inaiba au kwasababu sisi Watanzania ni Mambumbumbu?!
CCM wanaiba kura kwa urahisi kutokana na vyombo vya ulinzi na usalama kuwa tawi la ccm pia tume ya uchaguzi ni tawi la ccm na mahakama ni tawi la ccm. Hao wanageuza kura kiulaini mno kwa kuwa ccm mikono yao inageuzageuza kura kiulaini.Kwanini ANC wanaogopa kuiba na CCM inaiba au kwasababu sisi Watanzania ni Mambumbumbu?!
Huwa wanaji nasibu kuwa ni vyama vya ukombozi.ANC hawatofautiani kabisa na CCM katika fikra na matendo yao.
Wananchi watakuwa wamechoka drama.ANC kwa mara ya kwanza katika Historia Wananchi wameanza kuitosa bado Mambumbumbu ya CCM nayo yaonyeshwe Mlango.
Kama yaliyo fanyika 2020CCM haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania ili iendelee kubaki madarakani.
Kwa nini?Siasa za Afrika zinaongozwa na akili za kijinga
Kabisa suala la ukosefu wa ajira kwa vijana ni jambo kubwa sana.Kizazi kipya cha vijana wapigakura ndio maana anc wanapoteza ushawishi. Hao vijana ndio wanapitia magumu na ukosefu wa ajira. Lazima kizazi kipya kichague chama kingine.
Hata uchaguzi wa 2025 utakuwa na kizazi kipya cha vijana wapigakura waliozaliwa mwaka 2007-2002 ambao hawakupiga kura mwaka 2020.
Hichi kizazi kipya kikipigia kura upinzani, na kura zikihesabiwa kwa haki bila wizi, CCM watashindwa.
CCM wanashinda kwa wizi wa kura.
Kuna mjinga amesema wakitoka wao CCM nchi itatikisika.Bogus sana!ANC kwa mara ya kwanza katika Historia Wananchi wameanza kuitosa bado Mambumbumbu ya CCM nayo yaonyeshwe Mlango.