Duru za Uchaguzi Afrika Kusini. Umokhonto We Sizwe

Sawa sawa mkuu, kwa elimu nzuri
 
Kabisa suala la ukosefu wa ajira kwa vijana ni jambo kubwa sana.
Hali ngumu ya kiuchumi na ukosefu wa ajira ni changamoto mno. Hizo changamoto ndio zimesababisha Anc kupoteza nguvu. Hata 2025 kama vijana wakipiga kura upinzani na pasipokuwa na wizi wa kura ccm inaweza ikatoka madarakani mwaka 2025.

Ishu ni kuwa CCM wanaiba kura.
 
Labda CCM imeguke mtu/watu wenye ushawishi watoke CCM waje kugombea upinzani.Usitegemee chochote kwa hawa akina lissu, mbowe,zitto nk hawana jipya ni wafurahisha genge tu ni ukweli mchungu lakini hakuna namna
 
CCM wanaiba kura sana. Ndio maana wanashinda.
Uchaguzi ukiwa wa huru bila wizi wa kura hata hao wafurahisha genge wanatosha kuiangusha ccm vibaya mno.
 
Sawa mkuu lakini mbona Katiba mpya wanazuia isipatikane.?
 
Labda CCM imeguke mtu/watu wenye ushawishi watoke CCM waje kugombea upinzani.Usitegemee chochote kwa hawa akina lissu, mbowe,zitto nk hawana jipya ni wafurahisha genge tu ni ukweli mchungu lakini hakuna namna
CCM wanaiba kura sana. Ndio maana wanashinda.
Uchaguzi ukiwa wa huru bila wizi wa kura hata hao wafurahisha genge wanatosha kuiangusha ccm vibaya mno.
CCM kamwe haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania ili iendelee kubaki madarakani. Hat wakipata Kura sifuri kwenye Uchaguzi, bado wagombea wao watatangazwa kuwa ni washindi katikà Uchaguzi.

Rejea Uchaguzi wa Zanzibar wa 2015 na kile alichofanya Mkuu we tume ya Uchaguzi wa huko, Bw. Jecha baada ya Maalim Seif wa CUF kupata Kura nyingi sana kumzidi Dk.Shein wa CCM.

1 Rais Ali Hassan Mwingi wakati akiwa bado yuko hai, aliwahi kusema kwamba "wakati tulipokubali mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania, CCM tulihakikisha kwamba HATUSHINDWI."

NB: Fanya tafakuri ya kina ya neno 'hatushindwi.'

2. "CCM lazima itashinda tu katika Uchaguzi wa mwaka huu hata kama ni kwa kimbunga."

Rais Benjamin W. Mkapa, mwaka 2005.

3. "Nimewatuma marafiki zangu ili waende wakahamasishe Upinzani, kwa hiyo wana-CCM wenzangu msiwe na wasiwasi kwamba tutashindwa kwenye Uchaguzi huu wa mwaka huu."

Mwl. J.K. Nyerere, akiwa kwenye Kampeni za Uchaguzi mjini Morogoro, 1995.

4. "CCM Ina maarifa mengi, kwa hiyo kushinda lazima tutashinda tu ndugu zangu, msiwe na hofu sisi viongozi wenu tupo."

Rais Jakaya M. Kikwete.

5."Serikali haiwezi kuondoka madarakani kutokana na vile vikaratasi tu, Jeshi ni letu kwa hiyo Uchaguzi tutashinda."

John Malecela.

6."Hata kama mtapigia Kura kule upande mwingine, Ila tambueni tu kwamba CCM ndiyo inayoenda kuunda Serikali."

Rais Samia Suluhu Hassan.
 
"Hatushindwi" 🤣
Ndio maana wanashinda kwa wizi wa kura. Kwanza vyombo vya ulinzi na usalama (jeshi, Polisi, usalama) ni tawi la ccm, pili mahakama ni tawi la ccm na tume ya uchaguzi ni tawi la ccm.

Siku vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa kuiba kura ndio utakuwa mwisho wa CCM.

Ukiangalia kwa jicho la 3, vyombo vya ulinzi na usalama ndio chanzo halisi cha matatizo yote ya nchi yetu.
 
Lakini ndugu mbona wananchi wakiomba katiba mpya na tume huru wanakataa kama wanajiamini .?
UNafikiri ni kwann ccm hawatoi hiyo katika mpya??
Moja ya sababu ni kwamba hakujawa na presha ya watanzania wenyewe kudai hiyo katiba mpya, laiti kama kweli watanzania wangeitaka katiba yao , hakuna namna cxm wangezuia mchakato, never. Wasingeweza. Ila sasa hii inatoa picha kuwa takwa la katiba moya wala sio concern ya wananchi (kwa wingi wao) bali ni kikundi cha watu ambao wanapopuuzwa bas wanakosa namna ya ku enforce.

Ndio maana hata mchakato wa katiba ya warioba ulipositishwa licha ya kugharim mamilion, bado hakuna hata mtanzania aliye amka kulianzisha, why?? It is not their thing at all!!.

Ndio maana vyama mbadala kama cdm vinapata wakat mgumu kwakua wanaotetewa wala hawana mpango na utetezi.

Mpaka siku watanzania waamke na akili ziwakae sawa ndio haya mambo yataonekana yana maana na hata chaguzi zitakua na maana ila kwasasa ccm wanajua wananchi % kubwa wala hawapindui kuhusu chama chao.

NATAMAN SANA UWE UMENIELEWA
 
Nimekuelewa vizuri sana. Kwa hiyo tafsiri ni kwamba uelewa bado ni mdogo miongoni mwa wa Tanzania. Bado elimu haija tukomboa.

Kwa sababu katiba mpya ikipatikana itamsaidia kila mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…