Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

Acha mkuu

Mzee alininuliaga jezi ya chicago bulls za jordan

Mtaani nikaabza kuitwa CHICAGO


🀣🀣

Alinunuliaga viatu flani hivi sneakers za kuwaka waka, mama mmoja jirani kwa kuumia akavitupa juu ya bat

🀣🀣🀣
Mama wa watu alidhani unamaliza umeme wa tanesco πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usinikumbushe nishawahi kula kibano Cha kufa mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wew tu πŸ˜‚πŸ˜‚ nimetoka kuwaonesha nika shindwa rudishia kama zilivyo kuwa duh πŸ˜‚πŸ˜‚ af mama yangu alikuwa ana uza nguo sasa mda mwingine jiran walikuwa wanakuja kumkopa sasa hapo kadanganya mwanangu hana nguo ya sikukukuu af mm nimeenda waonysha
 
Umeharibu mipango ya bimkubwa kusamehemewa labda apokee hela ya mchezo siku hiyo hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakika mkuu

Hata sisi maisha yalikuwa poa kiasi ila wali tulikuwa tunakula hata mara 3 kwa wiki, pilau ndip siku kuku, kuku hadi juma pili

🀣🀣🀣
Umenikumbusha bwana
Mnanunuliwa nguo week before xmass kila wakati unachungulia sanduku tu 🀣, mkishiba ubwabwa ndo kupiga pamba kali viatu vinawaka taa chini usiku wanajua kabisa Mwachiluwi anakuja
 
Umenikumbusha bwana
Mnanunuliwa ngui week before xmass kila wakati unachungulia sanduku tu 🀣, mkishiba ubwabwa ndo kupiga pamba kali viatu vinawaka taa chini usiku wanajua kabisa Mwachiluwi anakuja
Acha mkuu.

Miaka hio unakuwa haujali kile kitakachofata kesho, kelele za watoto mtaani, kukaeibishwa ubwabwa na na jirani,

🀣🀣Aisee
 
Umenikumbusha bwana
Mnanunuliwa ngui week before xmass kila wakati unachungulia sanduku tu 🀣, mkishiba ubwabwa ndo kupiga pamba kali viatu vinawaka taa chini usiku wanajua kabisa Mwachiluwi anakuja
πŸ˜‚πŸ˜‚ zilitokaga tishet zina picha za wacheza mieleka wakina undertek una kumbukaa
 
Umenikumbusha bwana
Mnanunuliwa nguo week before xmass kila wakati unachungulia sanduku tu 🀣, mkishiba ubwabwa ndo kupiga pamba kali viatu vinawaka taa chini usiku wanajua kabisa Mwachiluwi anakuja
Halafu katika vitu nilikuwa sivielewi ni viatu kuwaka taa...mama atakuna nimevitelekeza uvunguni wallah...sipendi ushamba mm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…