camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
View attachment 3517932
My people,
Kuna msemo mmoja unasema "THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERIKA"
Tunaweza tumia mfano huu kuelezea ukweli kwamba hakuna Ufadhili ambao haufanyiki bila malengo maalumu
Hao wafadhili wana tegemea kupata kitu kutokana na pesa wanayotoa,sasa wakiona matumaini ya kupata wakitakacho hakipo tena ni dhahiri kabisa wata abort the mission, na hapo wanaharakati wetu wa mchongo watajikuta kwenye hali mbaya sana.
Ikifikia stage hiyo bongo hawawezi kurudi maana wakitia pua tu pale njia panda ya kwenda Ulaya watu wanakula vichwa,na wakikaa huko ughaibuni bila mishe watahadhirika
Ushauri wetu wapigania amani ya nchi hii, hao wanaharakati waanze kutafuta mishe za kufanya kwasababu, mpaka sasa wapigania amani tumeshaudhibiti mchezo,watu wamepata mwamko mkubwa na hawata andamana
Maana option iliyobakia ilikuwa kuingia road kuleta machafuko nchi isitawalike na Serikali kuangushwa,lakini mpaka sasa dash board inasoma Dola ni full tank na Wanaharakati wa mchongo ni Empty tank
Tunashukuru sana Watanzania kwa kuzinduka kutoka usingizini,tukumbuke Tanzania ni yetu na ni sisi pekee ndio tutailinda
Mungu Ibariki Tanzania na Mungu Ibariki Afrika
Ni hayo tu!
Hapana Camerlengo,Naona umeamua kuwa upande wa makafiri ya kiamerika!
Scott junior,Thibitisha kama walihamasishwa
Hatuna tatizo na wao kupush maovu ya serikali na uchafu mwingine mwingi tu,ugomvi wetu na wao ni njia za kutatua changomoto hiyoWaliwafungua watu macho na akili, wakaelewa ni namna gani hii nchi inaingizwa shimoni na CCM, sasa hivi hawana tena ushawishi, wamebakiza kutumia nguvu tu
Kufuatilia matukio hakutoshi kuthibitisha uhamasishaji. Ndicho ninachouliza: ushahidi gani unaoonyesha watu hawakujitokeza kwa hiari yao kutokana na jambo lililowagusa moja kwa moja?Scott junior,
Labda kama hukufuatilia kinachoendelea,hili nalo ni lakuuliza kweli
Tatizo wewe unataka kusikia maoni unayopenda ambayo kulalamika na kuiponda serikali ya CCM. Wakati mwingine ili kuficha upuuzi wako andika uzi moja kwa moja kusema unachotaka kusema ila sio kuuliza kitu ukijibiwa tofauti unavyotaka unaanza kubisha kama zumbukuku.Unasema vitu vya UONGO kwenye bandiko lako lote ili kiwe nini? Elimu, Dini , DEMOKRASIA kwenye nchi zilizoendelea hakuna?
Israel, ujerumani, Iran, Marekani, Japan, China huko kote hakuna dini?
Kuna uwezekano jamaa ni mjinga sana au ni mwerevu ila anataka majibu anayoyapenda yeye.Ikiwa haujanielewa sijui Kama CCM mtaiweza sijui !!!
Nahisi Una poor intellectual ability
Then wanakulazimisha uteke raia wako!A. Colonialists enzi za ukoloni ndio hao mabeberu.
B. Wana sifa ya hadaa unyonyaji na wanatumia nguvu wakati mwingine kutaka kile wanachokitaka.
C. 1. Wana-distract focus (dira) ya nchi kupitia uongozi.
2. Vitishio vya usalama nchini.
Soma alichoandika kwanzaUwanja wa kia ivi tuna asilimia ngapi mleta maada. Vipi mktaba wa ujenzi wa bagamoyo port ukoje
TANZANIA KWANZA , LINDA UHAI WAKO SANA , KATAA MAANDAMANO❌Idiots swali unatumwa au hutumwi
Sijaelewa... tulia mkuu uandike vizuriView attachment 3517932
My people