DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hii dhambi ya mauaji inawahusu wanaharakati kwa 100%Ni sahihi wanaharakati hawajafanya hayo,ila walihamasisha watu kwenda road kwa ulaghai kwamba jeshi litawalinda wananchi,kitu ambacho ni uongo
Kwahiyo nao hawawezi kwepa lawama ya kilichotokea
Njia sahihi ilikuwa kuwalamba miguu masultani weusi?Hatuna tatizo na wao kupush maovu ya serikali na uchafu mwingine mwingi tu,ugomvi wetu na wao ni njia za kutatua changomoto hiyo
Njia ya kuhamasisha fujo na vurugu haikuwa njia sahihi
Thibitisha kama walihamasishwa
Njia sahihi ilikuwa kuwalamba miguu masultani weusi?
Uwanja wa kia ivi tuna asilimia ngapi mleta maada. Vipi mktaba wa ujenzi wa bagamoyo port ukoje
Ninachojua mimi wanaohujumu nchi yetu ni viongozi wetu wanaoingia mikataba ya kimangungo, hao wanaoitwa mabbeberu hawachukui rasmali zetu at gun point lakini wanapewa kwa maandisha na viongozi wetu, mmojawapo aliyehusikaa kuingia mikataba hii ya kinyonyaji ni huyu huyu Kivuruge Jakaya Mrisho Kikwete ambaye bado anatawala kwa mlaango wa nyuma akiwa mbioni kuja kumrithisha mwanawe Ridhwani Urais wa nchi yetu.Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Hakuna mahali nimebisha ila nilichomtahadharisha kwenye mambo ya nukuu, huwezi kunukuu wikipedia ambayo hata yaliyoandikwa humo humjui aliyeyaandika.Tatizo wewe unataka kusikia maoni unayopenda ambayo kulalamika na kuiponda serikali ya CCM. Wakati mwingine ili kuficha upuuzi wako andika uzi moja kwa moja kusema unachotaka kusema ila sio kuuliza kitu ukijibiwa tofauti unavyotaka unaanza kubisha kama zumbukuku.
Kuna kale kajamaa ka UVCCM ndio kanatakiwa kajibu hili swali, Kapuuzi sana kale.Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
HUYU JAMAA NI NYUMBU KITU AMBACHO NILIKUWA SIJUI ANA STEREOTYPETatizo wewe unataka kusikia maoni unayopenda ambayo kulalamika na kuiponda serikali ya CCM. Wakati mwingine ili kuficha upuuzi wako andika uzi moja kwa moja kusema unachotaka kusema ila sio kuuliza kitu ukijibiwa tofauti unavyotaka unaanza kubisha kama zumbukuku.
Stereotype kwenye nini? Wikipedia ni sawa na vile vijarida vya Wana CCM ambavyo kila aina ya ujinga huandikwa humo.HUYU JAMAA NI NYUMBU KITU AMBACHO NILIKUWA SIJUI ANA STEREOTYPE
Duh kumbe polis na wanajeshi hawakuwa nao kweli kama walivyoaminishwa walikuwa wanawangoja kwa hamu watoke wawabutueHUYU JAMAA NI NYUMBU KITU AMBACHO NILIKUWA SIJUI ANA STEREOTYPE
Aisee... Mabeberu yamewafanya baadhi ya wenzetu wasiwe na utu kabisa.Duh kumbe polis na wanajeshi hawakuwa nao kweli kama walivyoaminishwa walikuwa wanawangoja kwa hamu watoke wawabutue
Wapumzike kwa amani
NCHI INA UNAFIKI MWINGI UNAMTUMA KIJANA VITANI ANAULIWA BILA HURUMADuh kumbe polis na wanajeshi hawakuwa nao kweli kama walivyoaminishwa walikuwa wanawangoja kwa hamu watoke wawabutue
Wapumzike kwa amani
Mimi naichukia siasa bila sababuAisee... Mabeberu yamewafanya baadhi ya wenzetu wasiwe na utu kabisa.
Ni kweli aiseeh! Unamtuma mtu kwa kumuaminisha kuwa polis atamlinda? Ni uhuni sana yani ni sawa kumpeleka swala akalindwe na SimbaNCHI INA UNAFIKI MWINGI UNAMTUMA KIJANA VITANI ANAULIWA BILA HURUMA
Mtiane wenyewe huko kwa kuendekeza uasherati kisa useme project za mabeberu kweli?NITAAANDIKA KUHUSU KUFANYA MONETIZES OF HUMANITY
UKIMWI
EBORA
N.K
NI PROJECT ZA MABEBERU WAO WENYEWE I WILL BACK
Ni kweli aiseeh! Unamtuma mtu kwa kumuaminisha kuwa polis atamlinda? Ni uhuni sana yani ni sawa kumpeleka swala akalindwe na Simba
Lengo letu ni moja kumfanya mtanzania ajitambue,ajue wajibu wa kulinda amani ya nchi upo mikononi mwake,asitegemee kuna mtu atapambania amani ya Tanzania kama sio sisi wenyewekwanini mods watu kama hawa msiwapge ban lengo lenu nini au nanyi lenu moja?
Nchi ngumu hii mtu anaetakiwa kukulinda ndio anakuua ila hata hivyo watakuwa wamepata funzo siku nyingine hawatarudiaTUKIONGEA UKWELI WANANIITA CHAWA
UJUWE HAWA WANA JF NILIWABIA MIMI SIANGALII NANI NI NANI KAMA ULIDANGANYA NA KUSAMBAZA UONGO VIJANA WAKAULIWE UJUE USHAKUWA ADUI YANGU
Wananchi walihamasishwa baada ya kuhakikishiwa kwamba Jeshi lipo nyuma yaoKisheria au kimantiki, unawezaje kutenganisha kati ya “kuhamasishwa” na “wananchi kujihamasisha wenyewe”