Amani inalindwaje?[QUOTE="Kazanazo, post: 55442308, member: 724197"
Tulindeni amani ya nchi, amani ni tunu ya Taifa
Amani inalindwaje?[QUOTE="Kazanazo, post: 55442308, member: 724197"
Tulindeni amani ya nchi, amani ni tunu ya Taifa
Tufafanulie hapa ni jinsi gani bajeti ya tanzania inafadhiliwa kwa asilimia 50+Hivi ujue kuna vitu hata kwenye logic hatuna kabisa.Hivi taifa ambalo 50% kwenda juu ya bajeti hiko financed na hao imperialists unawezaje kupanua mdomo kusema unaonewa wivu
Ni sawa una mke alafu jirani awe anawasaidia matumizi then kesho utangaze jirani anakuone wivu.Sio uchizi huu jamani
Kwa kuwa inayosaidiwa ni Serikali, jee yenyewe hao ndiyo wanaume zake?Au tuambie kwa bajeti ya huu mwaka ni kiasi gani kinatoka kwa hao waume zenu?
Ndugu KERATO MOMBAA habari za hapo mbulu?Tufafanulie hapa ni jinsi gani bajeti ya tanzania inafadhiliwa kwa asilimia 50+
Au tuambie kwa bajeti ya huu mwaka ni kiasi gani kinatoka kwa hao waume zenu?
Unless otherwise hizo ni LOVE STORY
Amani inalindwaje?
Naona unataka kujua nilipo..Ndugu KERATO MOMBAA habari za hapo mbulu?
Bado umeendelea kuwa shabiki wa c c m?
Kama hukufuatilia matukio ina maana your not well informed, kwahiyo huna uhalali wa kuhoji kitu ambacho hujui
Amekusikia kwasababu watu wake wanapitia mitandaoni kusikia vilio vyenuKama mnataka amani mwambieni samuya atende haki.
Heshimu maoni ya watu.
Asiwateke na kuuwa watu.
Hakuna uhusiano kati ya mabeberu na umaskini wetu!!Alie kwambia nani sifahamu matukio?
Jibu hoja
Bado huna hoja thabitiWananchi walihamasishwa baada ya kuhakikishiwa kwamba Jeshi lipo nyuma yao
Na alipo jitokeza Captain Tesha ndio kabisa watanzania wakajitoa lock kichwani na kuwa manyumbu
Nawe umo.Amekusikia kwasababu watu wake wanapitia mitandaoni kusikia vilio vyenu
Afadhali wewe si mmoja wa hao watu wake!!Amekusikia kwasababu watu wake wanapitia mitandaoni kusikia vilio vyenu
Sawa chawa mwandamizi.Naona unataka kujua nilipo..
Mimi sipo mbulu, si unataka kujua nilipo! Mm nipo hapa dar es salam
Na kesho nipo kanisani kanisa kuu anglican hapa mtakatifu albano dsm kwa jina langu hilo hilo na hyo si id fake..
Mm nitaendelea kuwa mtiifu kwa taifa langu la tanzania na nitailinda amani ya taifa hili na nitaungana na wote wanaokemea vitendo vya kuvunja amani ya nchi hii.
MIMI NI MTANZANIA NITAFIA TANZANIA TANZANIA NA NITAZIKWA TANZANIA HAIJALISHI MIMI NI TAJIRI AU MIMI NI MASKINI..I WILL DEFEND MY COUNTRY BY ANY COST WETHER BY WATERSHED OR BLOODSHED!
nipe majina yote uwezavyo!
Kasome bajeti ya 2024-2025 ambayo roughly ilikuwa trilioni 49 za Tanzania.Makusanyo ya ndani ilikuwa less than 70%. Huku roughly 30% ni kutoka kwa wahisani.Nani akuonee wivu katika mazingira kama haya?Tufafanulie hapa ni jinsi gani bajeti ya tanzania inafadhiliwa kwa asilimia 50+
Au tuambie kwa bajeti ya huu mwaka ni kiasi gani kinatoka kwa hao waume zenu?
Unless otherwise hizo ni LOVE STORY
Ilikuwa ndogo sanaBado huna hoja thabiti
Kwani before kuwapewa hope ya wanajesh
Je hakukua na hamasa ?
Kwanza tuamini kipi? 30% au 50% ulioandika mwanzoni?Kasome bajeti ya 2024-2025 ambayo roughly ilikuwa trilioni 49 za Tanzania.Makusanyo ya ndani ilikuwa less than 70%. Huku roughly 30% ni kutoka kwa wahisani.Nani akuonee wivu katika mazingira kama haya?
Miaka ya nyuma ndio usiseme.Shule ulienda wewe lakini?Hivi ni kwa vipi taifa kama US,UK and the list goes on wanaweza kuonea wivu taifa kama Tanzania
Nitajie hivyo vipengele ambavyo mataifa ya nje yanawaonea wivu then nikupe taarifa ya bajeti toka hili taifa limepata uhuru uone upumbavu wenu
na katika 30% tuambia misaada ni asilimia ngapi ili tuone tunavyowategemea!
Ngoja tuanze kuhojiana... Kwenye bajeti ya 2025/2026 matumizi ya kawaida "reccurent Budget " ni asilimia ngapi ya makusanyo yetu.Kwanza tuamini kipi? 30% au 50% ulioandika mwanzoni?
Okay tukubaliane na hyo 30%
Hyo loans peke yake au ni grants peke yake?
Maana kama ni loans hyo huwez ita kuwa msaada wa kibajeti (manake utarudisha..ndyo maana unaitwa mkopo) na hakuna taifa lolote kwa sasa halikopi au kudaiwa hususani yenye UCHUMI MKUBWA, kama lipo sema hapa
Du, Hapa ndio akili yote imetumika kutoa point. Hii ndio TZ ya Gen Z.Hivi ujue kuna vitu hata kwenye logic hatuna kabisa.Hivi taifa ambalo 50% kwenda juu ya bajeti hiko financed na hao imperialists unawezaje kupanua mdomo kusema unaonewa wivu
Ni sawa una mke alafu jirani awe anawasaidia matumizi then kesho utangaze jirani anakuone wivu.Sio uchizi huu jamani
Mwalimu wako alikuwa na kazi kweli nilipokupa figure kama 50%+ kuwa financed na imperialists ni estimation kulingana na mienendo yenu kwa kurejea miaka kadhaa nyuma.Kwanza tuamini kipi? 30% au 50% ulioandika mwanzoni?
Okay tukubaliane na hyo 30%
Hyo loans peke yake au ni grants peke yake?
Maana kama ni loans hyo huwez ita kuwa msaada wa kibajeti (manake utarudisha..ndyo maana unaitwa mkopo) na hakuna taifa lolote kwa sasa halikopi au kudaiwa hususani yenye UCHUMI MKUBWA, kama lipo sema hapa