Jina lako linasadifu! Huenda kweli wewe ni Simba mwenye manyoya😅. Kila mtu ashikilie alipo. Lugha ina sehemu tatu ili uijuwe ( Kuandika, Kusikiliza na Kuisoma). Huenda unayemsema kakosa component hiyo moja ya "kuongea" ila kuandika na kusoma yuko vzr. Wigwa Nshimba ya bhuyenze😅😅😅Kwani hao Wachina na Wahindi wanatumia Kiingereza kama lugha yao ya kufundishia? Wewe unaona ni sawa ufundishwe kwa lugha fulani zaidi ya miaka 20, uandike tasnifu 2 (Masters na Ph.D), uandike makala kwenye peer-reviewed journals mpaka uwe profesa, ufundishe na bado unafundisha kwa lugha hiyo hiyo...na bado uwe huwezi kuiongea vizuri hiyo lugha? Huoni kama hapo kuna tatizo kubwa?
Umedandia bila kujua hoja. Sisi tunasoma kiingereza tangu darasa la kwanza,na kuanzia sekondari tunafundishwa kila kitu kwa kiingereza. Kwa nini usielewe na kuongea vizuri? (hapa sisemi uongee kama mzungu). Mbona watoto wa shule za kimataifa wanaongea vizuri? Wako London? Kenya watu ambao hawajaenda shule hawajui english. Tuache visingizio.Si kwa sababu ya mazingira wanazungukwa na watu waongeao kiingereza kucha kutwa. Lugha ni maongezi. Mtoto wa kisukuma ukimuweka london miaka miwili na waingereza ataongea kiingereza safi.
Lugha ni kipengele kimoja cha kuweza kupima. Mtu kama ana Phd na aliandika research paper yake kwa english kwa nini asijue kuongea vizuri? Aliwezaje kuandika bila kujua lugha? Ila nakubaliana na wewe kuwa kujua lugha siyo elimu.Sawa mkuu mimi nasema tu lugha pia ni mtu mwenyewe kwa mfano mimi naongea Lugha za Nchi za SADC zote kuanzia Kinyanja, kichewa,shona, Afrikaans, Bemba, Kizulu na Kikhoxa na wapo wengi wapo huku hizi lugha hawazijui kwa ufasaha swala la Elimu yetu kuwa chini hilo mbona lipo wazi mkuu hapo ntapinga vipi Elimu haipimwi kwa Lugha tu tunapima kwa mambo mengi na matamko ya watu wa Serikali unaona hapa jamaa wamekosa Elimu bora..
Mbona hao wa English medium kama wewe, universities wanakuwa chini sana ki taaluma, vijana wa kanumba schools ndyo wanaongoza kitaaluma na kubakia chuo kuwa wahadhiri, proficiency ya ngeli si proportional na IQ, it's just a language, kuwa proficient kwa lugha haimanishi unamaajabu ya akili.Umedandia bila kujua hoja. Sisi tunasoma kiingereza tangu darasa la kwanza,na kuanzia sekondari tunafundishwa kila kitu kwa kiingereza. Kwa nini usielewe na kuongea vizuri? (hapa sisemi uongee kama mzungu). Mbona watoto wa shule za kimataifa wanaongea vizuri? Wako London? Kenya watu ambao hawajaenda shule hawajui english. Tuache visingizio.
Poor you,utetezi wa kijinga.Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajua Kiswahili?
Mkuu hiyo comment nadhani hukunikusudia mimi.Unaposema lazima, ina maana hicho kiingereza ni mama yako?
Vipi kama alisoma Ufaransa au Urusi au alikulia na kusoma nchi za Scandnavia tangia utoto wake na akaamua kurudi Tanzania baada ya hapo.
Hebu msituchoshe na kushindwa kuwaza nje ya box. Hamna exposure kabisa, jaribuni kuwa mnatembelea japo hata Msumbiji wanapoongea Kireno au Burundi na Rwanda wanapoongea Kifaransa mtatupunguzia huu ushamba.
Si kweli hata kidogo, language wanainyosha wengine (editors), au computer software, scientific facts ndyo zinakupa hiyo degree, siyo urembaji wa lugha ambayo si yako, mbona wenzetu ni waelewa sana, professors wa nchi za EU wana ngeli yakawaida kuliko sisi, kwa sababu haitaji kunyooosha ngeli ili elimu yake iwe validated na lay folks.Lugha ni kipengele kimoja cha kuweza kupima. Mtu kama ana Phd na aliandika research paper yake kwa english kwa nini asijue kuongea vizuri? Aliwezaje kuandika bila kujua lugha? Ila nakubaliana na wewe kuwa kujua lugha siyo elimu.
Tofautisha medium of instruction ya taaluma na kuisoma language, ndyo maana watu wameenda kusoma kiswahili university.Poor you,utetezi wa kijinga.
Medium ofcommynication ni english kuanziaprimary mpaka university
Miaka 15 unatumia lugha fulai kujifunza ila huijui,stupid
Kwani hapa tunaongelea kuwa kafeli mtihani wa English?Tofautisha medium of instruction ya taaluma na kuisoma language, ndyo maana watu wameenda kusoma kiswahili university.
Ili mtu aweze kumudu kuongea vizuri kiingereza ni nini anatakiwa afanye? Kwa mfano wewe uwezo wako mzuri wa kuongea kiingereza umetokana na matumizi tu ya kiingereza katika masomo yako?Lugha ni kipengele kimoja cha kuweza kupima. Mtu kama ana Phd na aliandika research paper yake kwa english kwa nini asijue kuongea vizuri? Aliwezaje kuandika bila kujua lugha? Ila nakubaliana na wewe kuwa kujua lugha siyo elimu.
Huko mbali sana twende China tuAngeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajua Kiswahili?
Kwanini utegemee hao wasomi wetu waweze kuongea vizuri kiingereza? Ni kwa sababu tu kiingereza kimetumika katika masomo yao?Nachoweza kukubalia ni kitu kimoja kuna watu waongeaji wazuri na wengine wanaweza kuwa sio waongeaji wazuri ila watendaji wazuri sana, ila tunategemea generally wasomi wetu waweze kuongea lugha kama kiswahili na english vizuri
Mazingira yetu hayakuwafanya au kuwajenga kuongea lugha mara kwa mara kama sisi wengine unafanya kazi sehemu au unasoma lazima uongee hiyo lugha maana hakuna mswahili au mngindo karibu yako leo utakosea baadae utaenda sawa na hizi lugha zote zinataka confidence kwanza na kuongea mara kwa mara sasa Watanzania wengi wanajua kuandika ila kuongea alichoandika ndio tatizo Wazambia wanajua kuongea ila hawajui kuandika wanachoongea..Lugha ni kipengele kimoja cha kuweza kupima. Mtu kama ana Phd na aliandika research paper yake kwa english kwa nini asijue kuongea vizuri? Aliwezaje kuandika bila kujua lugha? Ila nakubaliana na wewe kuwa kujua lugha siyo elimu.
Kwani umeambiwa uprofesa wake ni wa lugha? Au kuna kitu hukielewi wewe!Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
..nani sasa kafeli mtihani wa ngeli?, fikiria mtoto anayeingia mchepuo wa sayansi, somo hilo halina uzito, akienda A level ndyo anaachana nalo kabisa, na hiyo si lugha mama, then unataka veterinary Dr (DVM), usomi wake uwe validated kwa kuwa na fluent ngeli??Kwani hapa tunaongelea kuwa kafeli mtihani wa English?
Poor englishnduo topic
Anawezaje kufundisha wanafunzi
umewajibu sahihi kabisa.Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajua Kiswahili?
Inatakiwa ujitazame wewe na elimu yako kwanza kw kushindwa kutofautisha kuwa professor na lugha ya kiingereza
Ma Prof wa kichina wengi tu hawajui kiingereza.Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.