mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Hatutaki aongee kama muingereza, tunataka aongee kwa ufasaha na urahisi.Hajasomea umahiri wa lugha ya kiingereza. Madakatari pia for 5 yrs ni ngeli kwa kila kona, lakini nitashangaa daktari (MD) mtanzania akaiongea ngeli kama mwingereza. Proceedings zote za kidakatari anapomtibu mgonjwa ni za ngeli na some latin and Greek, lakaini hajasomea kuwa na oratory skills za hizo lugha nje ya taaluma.
Ndio maana nawaambia kama kutumia kiingereza tu kufundishia inatosha kufanya mtu aweze kuzungumza kiingereza fasaha basi watanzania tusingekuwa na shida ya kuongea kiingereza fasaha.Non sense, kwa sababu hicho cha kuongea eti wanataka kinyooke kama cha wazawa wa malkia.
Unawaeleza uhalisia ulivyo wao wanasema et tunatetea ujinga.Prof Janab amewashinda kwa kishindo hao jamaa wa wanaongea ngeli (ng'eng'e) nzuri kuliko yeye mara dufu, hapo vipi?
Unaposema lazima, ina maana hicho kiingereza ni mama yako?Mkuu shida kwenye mada kama hii tunachanganyana sana, kwa navyoelewa huwezi kusema english is nothing kwa sababu english ndio lugha dunia kama watu wasemavyo lakini pia si sahihi kupima elimu ya mtu au kutilia mashaka elimu ya mtu kwa kigezo cha kuangalia uzungumzaji wake wa kiingereza.
Navyoelewa mimi haiwezekani mtu kusoma kwa miaka yote hiyo kisha ukawa hujui lugha iliyotumika katika masomo ni suala ambalo haliwezekani ila inawezekana mtu akasoma miaka yote hiyo ila akawa hawezi kuzungumza kwa ufasaha kiingereza ila sio kwamba hajui kabisa kiingereza kama inavyochukuliwa humu.
Si kwa sababu ya mazingira wanazungukwa na watu waongeao kiingereza kucha kutwa. Lugha ni maongezi. Mtoto wa kisukuma ukimuweka london miaka miwili na waingereza ataongea kiingereza safi.Mbona wanafunzi wanaopelekwa kusoma Kenya wanazungumza kiingereza kizuri sana. Nina watu wengi nawajua, wamesomesha watoto wao shule za primaries Kenya, wanazungumza vizuri sana kiingereza wakati kule wanakwenda shule tu. Kingine, Bongo mbona watoto wanaosoma Intenational school wanazungumza english nzuri? Wacheni visingizio. Tatizo ni elimu yetu.
Hakika mkuu100%
Ndio maana wengi wanaokomaa na hoja za Kiingereza ni malimbukeni, na hawajawahi kugoka nje ya nchi.
Kwanza Wazungu walivyo *******, hata kama unajua English ukiongea lafudhi yako yanajifanya hayakuelewi.
Hata huko Uingereza watu wana lafudhi zao.
VOTING RESULTS:Prof Janab amewashinda kwa kishindo hao jamaa wa wanaongea ngeli (ng'eng'e) nzuri kuliko yeye mara dufu, hapo vipi?
Nachoweza kukubalia ni kitu kimoja kuna watu waongeaji wazuri na wengine wanaweza kuwa sio waongeaji wazuri ila watendaji wazuri sana, ila tunategemea generally wasomi wetu waweze kuongea lugha kama kiswahili na english vizuriKama hajui kiingereza amewezaje kuelewa masomo yake? Kwa sababu hali ilivyo ni kwamba unaweza kukuta kuna msomi anasifika vizuri kwa taaluma yake ila siku akionekana kaongea kiingereza ambacho si fasaha tunaanza kusema elimu zetu mbovu na kuanza kutiliana mashaka na elimu zetu.
Ni kama kimakonde tuKimalkia ni lugha tu kama lugha zingine..
Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Iko wapi?Kuna Clip
Yeye ni prof wa ngeli/ linguistic?Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Hao maprofesa wa uingereza walifundishwa kwa kiswahili?Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Nani mkuu? Prof. Lucas Mwashambwa nini? Ila Kiingereza kuu siyo lazima usomee. Ni lugha tu kama lugha zingine! Kwetu Watanzania siyo lazima uwe fluent, hicho hicho cha kuwasiliana kinatosha!Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Ukikariri (kama mistari ya singeli) school of medicine hutoboi, hatusomi ku perfect ngeli, tunasoma medicine, yenye language zingine pia, Greek na Latin, hizi zote hutaweza kuwa fluent lakini medical field utaitendea hakiSihitqji Hao maprofesa wa uingereza walifundishwa kwa kiswahili?
Kama unajiita dakatri huku lugha iliyotumika kukupa huo udaktari hauifahamu vizuri .
Maana yake wewe ni Daktari wa kukariri
Hii hoja ni dhaifu!Hao maprofesa wa uingereza walifundishwa kwa kiswahili?
Kama unajiita dakatri huku lugha iliyotumika kukupa huo udaktari hauifahamu vizuri .
Maana yake wewe ni Daktari wa kukariri
Elimu ya kukariri haiwezekani lugha iliyokupa degree ukose kuielewa .Hii hoja ni dhaifu!
Kujua maudhui na kujua lugha ni vitu viwili tofauti! Wengi humo tunaweza kusoma na kuelewa kiingereza, lakini kutunga essay ya maneno 100 kwa ufasaha ni mtihani, tusisiende kwenye Kiingereza cha kuongea!
Uzi ukiletwa kwa Kiingereza mnaangalia tu mnapita! Kaangalie forums za Kiingereza uone!