Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

Hata kutumia utafiti au ugunduzi wa wengine si rahisi kiasi hicho. Nako kunahitaji akili kama wachina wanavyoiga na kufanikiwa sana. Jaribu nawe kuiga tukupe tano zote!
 
Mkuu na hapa sasa ndipo kuna changamoto ukianza kuunda tu wenye mamlaka wanakwambia huna leseni mara ni hatar kwa usalama wa raia
Mara wanasema lipa kodi ya mapato wakati bado hujapata chochote, au andaa mchanganuo wa andiko (proposal). Wanavyofanya ndio kutishia usalama na ustawi wa taifa letu - kabisa!
 
Sisi labda tukune nazi...!

Ukiona watu wazima(sio kichaa) anaharibu miundombinu ya SGR ili akauze kama vyuma chakavu, ujue huku bado Mungu yuko kazini anaumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Nimepita hapo sasa hivi kuelekea stendi Mpemba kisha naendelea kuelekea Sumbawanga. Inauma sana nikiona jinsi ile helikopta ilivyotelekezwa na kubaki scraper. Tukiwaza chaguzi tu mbona tutachelewa milele??!!
Mhh tajiri namba moja duniani ndo awe muongo muongo??? Na wanasema anaweza akawa ndio trillionaire wa kwanza duniani?? Sidhani kama unayosema ni kweli
Inashangaza sana!
 
Ndiyo, umesema vema
 
Who is overrating him? I bet you also don't know who is underrating him.
 
Bongo hatuna vipaji Wala hatuna akili za uvumbuzi. Sisi wengi ni wajinga na ukikaa na wajinga unawaza ujinga ujinga muda mwingi.
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
Kwenye ile sex dolls kafikia wap
 
Copy and paste yenyewe tuu shida
 
Kaka usafiri huo unaweza ukawepo ila kuleta impact kwenye dunia mpaka uwe usafiri wa kutumika kama vile ndege kufanya mtu anaeishi marekan afanye kaz dar.. hiyo bado kwa miaka
Mingine 50..ijayo.. na hizi ni sababu zangu

Natabiri huo usafiri kama
Utakuja kuwa reality utakuwa kama
Vile space shuttle maana yake ni lazima
Utumie anga la juu zaidi kusafiri kwa speed kubwa maana yake hautaweza kuchanganyika na ndege za kawaida kwenye anga. Moja ikiwa ni kwa sababu za usalama. pili only wale " 1%" ndio watamudu hizo gharma kama travelling to space kwenda kutalii kulivyo sasa ...

Hii inamanisha kama
Utakuwa open to public basi utatumika kiutalii zaidi na sio kama njia moja wapo ya public transport kama ilivuo ndege

Pia ili uweze kutumika kama
Ndege za abiria inabidi kuwe na lunching /docking station zitakazoweza kuhandle landing na lunching ya hicho chombo (kama vile space shuttle)sababu hautatumia viwanja vya ndege vya kawaida bcoz mfumo wake wa uendeshaji utakuwa tofauti hii pekee ni sababu tosha ya kufanya huo usafiri uwe ni kwa special Mission na sio kama any other public transport..

utaona ni nchi chache zitakazokuwa na hizo docking station.. na ukizingatia hata kama Elon akisema utakuwa available kibiashara.. ni abiria wa ngapi nchi husika itakuwa nao kiasi cha wawekeze kujenga landing station..
Nchi haiwez kuwekeza kwenye landing station kwa abiria moja au 10
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
Zwazwa la kiarabu koko linapayuka hapa
 
Una chuki za kipumbavu mnoo.
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
 
Umewaza vema kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…