Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe.
Musk says his dream of rocketing passengers across the world in under an hour on the Starship rocket is “now possible” after Donald Trump’s re-election."
Huenda ndio maana kakubali kupata Uwaziri wa muda mfupi kwa Trump kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Si ajabu kawa tajiri namba 1 duniani kote. Nasi tusikate tamaa, tuendelee kukuna vichwa ili tuwe wabunifu, wagunduzi au waigaji kama China - mdogo mdogo.
Kaka usafiri huo unaweza ukawepo ila kuleta impact kwenye dunia mpaka uwe usafiri wa kutumika kama vile ndege kufanya mtu anaeishi marekan afanye kaz dar.. hiyo bado kwa miaka
Mingine 50..ijayo.. na hizi ni sababu zangu
Natabiri huo usafiri kama
Utakuja kuwa reality utakuwa kama
Vile space shuttle maana yake ni lazima
Utumie anga la juu zaidi kusafiri kwa speed kubwa maana yake hautaweza kuchanganyika na ndege za kawaida kwenye anga. Moja ikiwa ni kwa sababu za usalama. pili only wale " 1%" ndio watamudu hizo gharma kama travelling to space kwenda kutalii kulivyo sasa ...
Hii inamanisha kama
Utakuwa open to public basi utatumika kiutalii zaidi na sio kama njia moja wapo ya public transport kama ilivuo ndege
Pia ili uweze kutumika kama
Ndege za abiria inabidi kuwe na lunching /docking station zitakazoweza kuhandle landing na lunching ya hicho chombo (kama vile space shuttle)sababu hautatumia viwanja vya ndege vya kawaida bcoz mfumo wake wa uendeshaji utakuwa tofauti hii pekee ni sababu tosha ya kufanya huo usafiri uwe ni kwa special Mission na sio kama any other public transport..
utaona ni nchi chache zitakazokuwa na hizo docking station.. na ukizingatia hata kama Elon akisema utakuwa available kibiashara.. ni abiria wa ngapi nchi husika itakuwa nao kiasi cha wawekeze kujenga landing station..
Nchi haiwez kuwekeza kwenye landing station kwa abiria moja au 10