Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

Ni ujinga kuamini Elon Musk anaweza kugundua vitu vipya tofauti tofauti vya kisayansi. Elon Musk hana akili hizo wala uwezo huo. Yeye amewekeza pesa zake nyingi kwenye project za kitafiti na kuzalisha bidhaa na huduma za kiteknolojia zilizotokana na gunduzi za watu wengine hususani young scientists.

Elon musk yuko overrated
Hata kutumia utafiti au ugunduzi wa wengine si rahisi kiasi hicho. Nako kunahitaji akili kama wachina wanavyoiga na kufanikiwa sana. Jaribu nawe kuiga tukupe tano zote!
 
Mkuu na hapa sasa ndipo kuna changamoto ukianza kuunda tu wenye mamlaka wanakwambia huna leseni mara ni hatar kwa usalama wa raia
Mara wanasema lipa kodi ya mapato wakati bado hujapata chochote, au andaa mchanganuo wa andiko (proposal). Wanavyofanya ndio kutishia usalama na ustawi wa taifa letu - kabisa!
 
Sisi labda tukune nazi...!

Ukiona watu wazima(sio kichaa) anaharibu miundombinu ya SGR ili akauze kama vyuma chakavu, ujue huku bado Mungu yuko kazini anaumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Ngoja kwanza tumalize kujenga matundu ya vyoo mashuleni. Uchaguzi wa 2025 itakuwa ni Kwa ajili ya kuomba kura ili tukamilishe Ujenzi wa vyoo Kwa level ya lenta, 2030 ni uchaguzi Kwa ajili ya kuomba kura ili tupauwe vyoo vilivyojengwa, 2035 ni uchaguzi Kwa ajili ya finishing ya vyoo.

BTW, yule jamaa wa Tunduma aliyetengeneza helicopter aliishia wapi?
Nimepita hapo sasa hivi kuelekea stendi Mpemba kisha naendelea kuelekea Sumbawanga. Inauma sana nikiona jinsi ile helikopta ilivyotelekezwa na kubaki scraper. Tukiwaza chaguzi tu mbona tutachelewa milele??!!
Mhh tajiri namba moja duniani ndo awe muongo muongo??? Na wanasema anaweza akawa ndio trillionaire wa kwanza duniani?? Sidhani kama unayosema ni kweli
Inashangaza sana!
 
Unamuitaje muongo ilihali kazi zake zinaonekana? Anaweza akashidwa jambo and yet akaibuka na lingie la maana zaidi.
Elonana projects kibao zipo pending na nyingine aliachana nazo.
Inawezekana wewe unamsubiri amalizie ambacho ameshaachana nacho au alichoweka pending, unatakiwa uelewe, kuna pengine yanahitaji scientic approval na mengie ya mgogolo kisheria.
Ndiyo, umesema vema
 
Ni ujinga kuamini Elon Musk anaweza kugundua vitu vipya tofauti tofauti vya kisayansi. Elon Musk hana akili hizo wala uwezo huo. Yeye amewekeza pesa zake nyingi kwenye project za kitafiti na kuzalisha bidhaa na huduma za kiteknolojia zilizotokana na gunduzi za watu wengine hususani young scientists.

Elon musk yuko overrated
Who is overrating him? I bet you also don't know who is underrating him.
 
Hilo ni tatizo kubwa sana na kizingiti kikubwa kwa maendeleo yetu. Tuna vijana wabunifu wengi, badala ya kuwasaidia na kuwatia moyo, tunaweka kauzibe, chuki na kebehi. Tuache kabisa hii dhambi kwa vijana wetu ili tupate akina Elon Musk wa kwetu - hata kama ni wa mchongo!
Bongo hatuna vipaji Wala hatuna akili za uvumbuzi. Sisi wengi ni wajinga na ukikaa na wajinga unawaza ujinga ujinga muda mwingi.
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
Kwenye ile sex dolls kafikia wap
 
Huenda ndio maana kakubali kupata Uwaziri wa muda mfupi kwa Trump kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Si ajabu kawa tajiri namba 1 duniani kote. Nasi tusikate tamaa, tuendelee kukuna vichwa ili tuwe wabunifu, wagunduzi au waigaji kama China - mdogo mdogo.🔨
Copy and paste yenyewe tuu shida
 
Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe.

Musk says his dream of rocketing passengers across the world in under an hour on the Starship rocket is “now possible” after Donald Trump’s re-election."

Huenda ndio maana kakubali kupata Uwaziri wa muda mfupi kwa Trump kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Si ajabu kawa tajiri namba 1 duniani kote. Nasi tusikate tamaa, tuendelee kukuna vichwa ili tuwe wabunifu, wagunduzi au waigaji kama China - mdogo mdogo.
Kaka usafiri huo unaweza ukawepo ila kuleta impact kwenye dunia mpaka uwe usafiri wa kutumika kama vile ndege kufanya mtu anaeishi marekan afanye kaz dar.. hiyo bado kwa miaka
Mingine 50..ijayo.. na hizi ni sababu zangu

Natabiri huo usafiri kama
Utakuja kuwa reality utakuwa kama
Vile space shuttle maana yake ni lazima
Utumie anga la juu zaidi kusafiri kwa speed kubwa maana yake hautaweza kuchanganyika na ndege za kawaida kwenye anga. Moja ikiwa ni kwa sababu za usalama. pili only wale " 1%" ndio watamudu hizo gharma kama travelling to space kwenda kutalii kulivyo sasa ...

Hii inamanisha kama
Utakuwa open to public basi utatumika kiutalii zaidi na sio kama njia moja wapo ya public transport kama ilivuo ndege

Pia ili uweze kutumika kama
Ndege za abiria inabidi kuwe na lunching /docking station zitakazoweza kuhandle landing na lunching ya hicho chombo (kama vile space shuttle)sababu hautatumia viwanja vya ndege vya kawaida bcoz mfumo wake wa uendeshaji utakuwa tofauti hii pekee ni sababu tosha ya kufanya huo usafiri uwe ni kwa special Mission na sio kama any other public transport..

utaona ni nchi chache zitakazokuwa na hizo docking station.. na ukizingatia hata kama Elon akisema utakuwa available kibiashara.. ni abiria wa ngapi nchi husika itakuwa nao kiasi cha wawekeze kujenga landing station..
Nchi haiwez kuwekeza kwenye landing station kwa abiria moja au 10
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
Zwazwa la kiarabu koko linapayuka hapa
 
Ni ujinga kuamini Elon Musk anaweza kugundua vitu vipya tofauti tofauti vya kisayansi. Elon Musk hana akili hizo wala uwezo huo. Yeye amewekeza pesa zake nyingi kwenye project za kitafiti na kuzalisha bidhaa na huduma za kiteknolojia zilizotokana na gunduzi za watu wengine hususani young scientists.

Elon musk yuko overrated
Una chuki za kipumbavu mnoo.
 
Huyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.
 
Kaka usafiri huo unaweza ukawepo ila kuleta impact kwenye dunia mpaka uwe usafiri wa kutumika kama vile ndege kufanya mtu anaeishi marekan afanye kaz dar.. hiyo bado kwa miaka
Mingine 50..ijayo.. na hizi ni sababu zangu

Natabiri huo usafiri kama
Utakuja kuwa reality utakuwa kama
Vile space shuttle maana yake ni lazima
Utumie anga la juu zaidi kusafiri kwa speed kubwa maana yake hautaweza kuchanganyika na ndege za kawaida kwenye anga. Moja ikiwa ni kwa sababu za usalama. pili only wale " 1%" ndio watamudu hizo gharma kama travelling to space kwenda kutalii kulivyo sasa ...

Hii inamanisha kama
Utakuwa open to public basi utatumika kiutalii zaidi na sio kama njia moja wapo ya public transport kama ilivuo ndege

Pia ili uweze kutumika kama
Ndege za abiria inabidi kuwe na lunching /docking station zitakazoweza kuhandle landing na lunching ya hicho chombo (kama vile space shuttle)sababu hautatumia viwanja vya ndege vya kawaida bcoz mfumo wake wa uendeshaji utakuwa tofauti hii pekee ni sababu tosha ya kufanya huo usafiri uwe ni kwa special Mission na sio kama any other public transport..

utaona ni nchi chache zitakazokuwa na hizo docking station.. na ukizingatia hata kama Elon akisema utakuwa available kibiashara.. ni abiria wa ngapi nchi husika itakuwa nao kiasi cha wawekeze kujenga landing station..
Nchi haiwez kuwekeza kwenye landing station kwa abiria moja au 10
Umewaza vema kabisa!
 
Back
Top Bottom