Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #61
F-35 ina miaka mingapi tangu itoke kiwandani
Compare na j-35 ambayo juzi tu kwenye airshow yao ilikuwa ina mwaga mimoshi kama mashine ya disel 🤣
Kwanza unajua hata maana ya innovation kijana!?
Kwa nini usubiri mwenzako atengeneze nawe ndo unacopy? Siutengeneze ya kwako ya kipekee inayoizidi uwezo unayoiponda?Kama unaona copy na paste rahisi basi fanya na wewe.
Unadhani innovation ni kitu chepesi!?
Kwanza unajua hata maana ya innovation kijana!?
China imechukua vingapi kutoka kwao?
Stealth hiyoLete video au picha ya J-35 yenye WS-19 au WS-21 inayotoa moshi si ulitaka twende kwa fact
Mimi nimekuletea na video uone gari moshi ya angani F-35 ikimwaga moshi
China bado ndio mchafuzi nambari moja wa mazingira ya dunia, anaongoza kuzalisha Carbon dioxide (CO₂), hata hizo EV battery na green tech zake sio malipizi tosha ya uharibifu wa ozone.Dunia ya sasa iko kwenye innovation mzee
Hujasikia hivi karibuni nchi za Ulaya zinapanga zipate tech transfer ya EVs, EV battery na green tech kutoka China?
Jibu swali Tanzania inaingiaje hapa?Kama issue ni kuchukua tu
Mnangoja nini Tanzania na nyinyi kuchukua kama Mchina
Haya mambo msiongee kama mko kwenye vijiwe vya kahawa
Techno know how zinahusika kwenye hizi mambo acheni stori za vijiweni
Jibu swali Tanzania inaingiaje hapa?
Na waarabu has UAE na saudia rabia ndo wanakopigwa hapo jamaa wana mabillion ya dollar kwenye nchi za magharibi wanachofanya usa ni kudedict to kwenye account zao kitu dollar 200m wanakobrand kwa 1.5b usd na mbwembwe kibaoHapo ndo inapokuja tofauti ya mmagharibi na hao wengine,,jamaa wana propaganda nzuri kitu cha buku 10 anaweza kukuuzia laki 1 sababu kajua kucheza na akili yako ila mkiingia uwanjani.......
Mzee wa kucopy bado sana. Ngoja tusubiri mwakani US atakuja na nini acopy tenaSi ni suala la kuchukua tu au? Maana kama nu huvyo taifa lolote linaweza kuchukua au kuna malipo?
Unahamisha magoli kwanza j-35 imetoka kiwandani mwaka gani?Hiyo ina engine ya WS-13 nilikwambia lete yenye WS-19 au WS-21 au Kiswahili ni shida.
Au nikusaidie kutofautisha yenye WS-19E, WS-21E na hiyo WS-13E
Hehehe kabisa mwamba atapingana mpaka na elonUnajua T14 Armata humwambii kitu kuhusu Marekani? Ukitaka jamaa akuandikie magazeti humu, basi mbishie kuhusu Amerika. Hapo lazima utalia tu. Nadhani anakula posho ndefu sana ya Joe na Kamala.
Maana ya innovation ni kukiendeleza kilichokuwepo Kwa kukiongezea manjonjo na ufanisi zaidi.Kwa nini usubiri mwenzako atengeneze nawe ndo unacopy? Siutengeneze ya kwako ya kipekee inayoizidi uwezo unayoiponda?
Na mimi lini nilikua naitaka hio kandarasi maana hata mkoko nine sina ila nilikua nasema mara kadhaa hapa kama F35 ndege ya mchongo jengine hata kama wamarekani wajinga hawawezi wakampa elon mradi kisa tu anautaka yeye apige pesa kweli wajinga ila levo hii nadhani hawajafikia badoUnategemea asifie wakati anataka kandarasi hiyo hiyo? Lazima ajifanye kuonesha madhaifu ili awe considered. Wafanyabiashara sio wa kuamini when it comes kuwania kazi.
China bado ndio mchafuzi nambari moja wa mazingira ya dunia, anaongoza kuzalisha Carbon dioxide (CO₂), hata hizo EV battery na green tech zake sio malipizi tosha ya uharibifu wa ozone.
Wajinga mmewezwa sanaNilikua namueleza sana hili swahiba wangu T14 Armata kwamba F35 pale marekani kapuyanga narudia tena kumwambia katika ndege ambazo marekani kapotena basi ni hayo makopo hayo madege ni buuurree kabisaa ingawaje wamarekani wa jf watapingana mpaka na Elon
Ila wewe kila wazo lako ni sahihi tuanzie hapa kwanza yaani musk aliopo karibu kabisa na system unamsemeaje f 35 hamna maajabu pale mzee niliisema hili miaka kama si mitano basi saba nyuma leo elon nae Katia nenoNilikupa majibu kule ukakimbia. Sasa naona unataka tuanze upya wakati siku zote hujawahi kuonyesha ni wapi F-35 zinapoteza maana. Unatoa maoni kama watoa maoni wengine, huonyeshi how F-35 ni mbovu. Ninazo sababu chungu nzima za kuonyesha ubora wa F-35 huna hata sababu moja ya kuipinga.
Elon Musk sio Mungu kwamba kila wazo lake ni sahihi.
HUYO ELON MUSK HANA LOLOTE LA MANA ANAJIPIGIA DEBE ILI JAMAA YAKE TRUMP AMPE MCHONGO WA KUTENGENEZA DRONE SEMA JAMAA KAMPIGANIA SANA TRUMP