Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

Harafu Bashe awe Nani? Si Bora amtoe Simbachawene amuweke Mwigulu Kama kimtumbua hawawezi?
Bashe is doing great job, yaani wakimtoa hapo itakuwa kosa kubwa ingawa hatuwezi kumpangia kwa kuwa wao wanaweza kuwa na other motives...
 
Tunaomba cv yake
Alikuwaa mwalimu katk shule ya kijij Cha mpwayungu kisha akawafundishe wapuuuz fln HV Kisha akaenda kusoma diploma ya uchumi mzumbe Kisha akaabadilieha Kaz kwenda hazin ndogo na baadae kuteuliwa kuwa kwf na Sasa bot

Acha upuuzi Soma kijana na wee ulambe asali
 
Una matatizo ya akili wewe,kwani huyo Kasim atakuwa PM wa kwanza Kupigwa chini?

Pabaya kiaje? Kisa Kupigwa chini kwa Royalists wa Mwendazake? Endeleeni kuugulia.

Bado Kadogosa wa TRC
Daaah aiseeee huyu naye ampumzishe..
 
Kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu, gavana atakuwa hana phd
Kweli, wengi magavana waliopita walikuwa ma Dr. na ma Profesa. Historian inakwenda kujirudia. Mnamo mwaka 1989 wakati Gavana Charles Nyirabu anastaafu, Mhe. Mwinyi alimteua Bwana Gilman Rutihinda, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,kuwa Gavana wa Benki Kuu.

Nadhani mama anazingatia weledi na uzoefu kwenye sekta husika. Kikubwa ni matokeo. PhD sio issue.
 
Mawazo ya kipimbi sana haya.. Benk kuu lazima iendeshwe in a more professional way na siyo kisiasa. Issues nyingi za ufisadi kama tulivyoona huko nyuma chanzo chake ni wanasiasa kuingilia hicho chombo ili wapige pesa. Huyo JPM wako ndiyo kabisaa ndiyo maana alimfukuza Prof Assad...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…