Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

uliwahi kuwa na hoja wewe toka lini?
tuliza mihemko bas na itapendeza zaidi.

huna haja ya kumbwelambwela jukwaani ikiwa umelemewa na ukweli mtupu dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi πŸ’
 
huna haja ya kumbwelambwela jukwaani ikiwa umelemewa na ukweli mtupu dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi πŸ’
Inaonekana sikuizi nyuzi zitakuwa zimeongezwa ili ulambe buku saba maana ulipumzila tu nchimbi alipojiudhulu na kupotelea kusikojulikana
 
Kati ya chadema na sisi tulioshika Dola nani anaevunja Sheria mara nyingi!!?
Tumevunja Sheria mara ngapi!!?kiutendaji!!?

Uhuru wa kutoa maoni ndani ya chama umekiukwa mara ngapi!!?

Au we umefumba macho!!?

Juzi Kuna wakuu walihitajika mahakamani hawakwenda na hao ni wanachama wetu he hawajavunja Sheria!?mahakama ikitumia mamlaka yake je watawajibika!!?

Kabla hujaiona chadema kwanini usione ya kwetu kwanza!!?
 
Chadema hakiwezi kufutwa, kifutwe kwa sababu gani wakati ccm inayoendelea kuifisidi nchi na kuua watu hakijafutwa.

Hizo ni fikra za kichawa tu. Bure kabisa.
 
CHAMA CHA MUUWAJI (CCM) wa waTanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…