Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi, tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?

Ww UVCCM tulia upigwe spana, hakuna watu majizi kama hao wanaoubiri uzalendo. Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie ndo kwanza mama kaanza kusafisha madudu yenu.

Hakuna mtu asietambua umuhimu wa kodi katika kuleta maendeleo ya nchi. Wala mama hajazuia ukusanyaji wa kodi. Isipokuwa kodi za dhulma ndo zimezuiliwa.

Sema nyie UVCCM mmeanza kuona kiama kinawasogelea kwahiyo mnataka kujihami.Aliwahi kusema mmoja katika wasomi hapa nchini Dkt.Luis shika (PhD)
"Tutaelewana kidogo kidogo wacha tuonyeshane makali.
 
Sijasikia sehemu kasema TRA iache kukusanya kodi. Huu uhuru wa kuandika kila mnachojisikia mngeweza kumkosoa JPM

Rais hajasema mahala popote kuwa kodi isikusanywe!! Rais ameagiza kuwa upanuliwe wigo wa walipa kodi na kodi ikusanywe kistaarabu na taasisi husika na sio kama kule HAI Mkuu wa wilaya anakwenda na bunduki usiku madukani kwa watu na kuulizia kodi kama imelipwa!! Tangu lini kazi ya DC kwenda majumbani mwa watu kukusanya kodi!! Huu ni ufedhuli wa hali ya juu ambao unastahili kukomeshwa, na kiongozi wa namna hiyo kuondolewa.
 
Ni sawa serikali haiwezi kusimama bila kodi lakini pia haifai serikali kujiendesha kwa kodi za dhuluma! Taxation thugurey! Ulisikia wapi duniani kote kodi ikakusanywa na TISS, PCCB, Polisi na Bunduki? Kazi ya taxman TRA ni nini? Hivi unajua kwamba kutokulipa kodi sio jinai bali kukataa kulipa kodi! Na kodi hukadiriwa kutokana na nyaraka za biashara, stock in trade na sales documents ndio maana TRA ina idara kamili ya trained tax investigation. Sio kwenda kwenye biashara ya mtu na mitutu unampiga demand note isiyifanana na biashara yake, akishindwa kulipa unampiga kesi ya uhujumu uchumi, sasa wewe ni serikali au ni kikundi cha majambazi?!
 
Upande wa matumizi pia ni vyema kuwa makini kuona fedha zinatumika vizuri. Kule bungeni kuna matumizi sabaya sana ya fedha; malipo kwa Wabunge yaangaliwe upya ili yafanane na kuwiana na malipo ya wananchi wengaine.
Kuna mambo mengi ya policy yanatuingiza kwenye gharama bila sababu. Kama kweli sisi ni masiki:

1: Mtandao wa Ma-Vx ungepunguwa na kubakiza kwa wachache, ili kupunguza running cost ya serikali. Wengine watafutiwe gari mpya, lakini za bei ya chini na gharama ndogo za utunzaji.

2: Posho zingepungua kama hizo za wabunge, ziendane na hali halisi.

3: Kubadilishiwa sofa seti kila baada ya muda, wakati wote tuna mishahara. Tupunguze mzigo, mpaka pale uwezo utakaporuhusu na mlipa kodi akiwa na nafuu ya kodi.

4: Kupeana unit za LUKU bure, punguza watu wanaostahili hayo au ondoa.
5:......
 
kuna majali mhe SSH amekataa kodi isikusanywe?
kodi iko kisheria na itakusanywa kama kawaida.
 
Hivi hili la kutofungulia Mawio,Tanzania Daima unajisikiaje?Jana ulikuwa unapiga ramli
Kwani Kakwambia Hatakusanya Kodi au Kutumia nguvu na Kunyanganya watu malizao na Kubambikiana Mikodi ndio wewe uliona Utajenga nchi..
 
Hilo la kodi bila kutumia nguvu halitokuja kuwezekana katika nchi zinazo endelea. Narudi tena halitokuja kuwezekana. Usilinganishe na nchi za ulaya ambazo ukusanyaji wa mapato unafanyika online.
Ova
linawezekana sana. proper plans tu zinahitajika.
wenzetu wa S.A wanawezaje? mataifa yaliendelea yanawezaje?
 
Sawa presidential advisor bila shaka masirahi yako yameguswa.
Pole sana .
 
Na wewe ni zamu yako ya kuwa mdangaji sasa ili uzifaidi hizo 6millions za mawigi
Kwa wadangaji ilikuwa raha sana...
Mawigi ya kina wema yalikuwa 6millions[emoji16][emoji16]

Watu wanatakiwa kuwa serious kidogo..
 
Upotoshaji wa namna hii dhidi ya maagizo ya mama kuongeza walipa kodi upingwe kila mahali. Rais kaagiza tuongeze wigo wa walipa kodi wawe wengi basi.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Kwani jk alifanyaje! Mbona aliendesha nchi vizuri kushinda jiwe na hakuwakandamiza Sana watu na makodi ya ajabu na ndo aliongoza kuajiri lakini Kodi hakuwa harsh kivile!
 
Hivi unaakiri kweli? We unafikiri sources ya government revenue ni Kodi tu! Sasa ukiwakamua mikodi watu halafu wakakimbia wote baadae utamkamua Nani tena. Au utawabembeleza warudi tena.

We unadanganywa na ule uongo wa jpm kwamba tulikuwa tunakuwanya 1.3 trillion. Huo ulikuwa uongo Tanzania hakuna uwezo huo. Alikuwa anavamia maakaunt ya watu na kuwadhulumu tu.

Samia anataka Hali halisi siyo kudanganya Uma.
Hata mo alitaka kukimbia ndo Mana wakamteka alitaka kukimbilia msumbiji.

Swali ni je! Ukiwakimbiza wawekezaji wote kisa pupa baadae utakusanya wapi. Au hawa machinga na mama lishe ndo wanaweza kuendesha nch?

Think before uttering.
 
Yaani kusema hataki kodi za dhuluma ni lazima awe anamlenga Mtangulizi wake?

Na kama hakukuwa na dhuluma ni kwa nini huo ujumbe ulenge kusikohusika?.
 
Ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mnyanganyi, mporaji aliyeamini kila tajiri anatikiwa ateseke. Na kwa kauli yake alisema matajiri wataishi kama mashetani
Umekaririshwa kama vile inapigwa bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…