Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

Lipumba ana jambo LAKE kwenye fani ya UCHUMI nchi hii...

UKISOMA kidogo mbele utakutana Naye...
 
Haya huyo hapo siti ya mbele na kishoka anatumia kodi zenu

 

Lipumbavu [emoji4]
 
Alibebwa na ukubwa wa maalim, wanasiasa wa Tabora Wana historia ya usaliti, sijui waliipata wapi wakati Mkoa ulikuwa na watemi maarufu kama mirambo na isike, wote waliotaka kumpindua Nyerere, lazima walikuwa na mshirika kutoka Tabora
 
Haina kubishana. Profesa Lipumba ni mchumi aliyebobea. Pia kusema chuo kikuu wanapeana udaktari kwa kulindana huku vichwani hakuna kitu ni kauli ya WIVU baada ya kuwa wewe ni kilaza. Elewa siasa ni jambo linaloweza fanywa na yeyote haina mipaka. Kwenye siasa hapa Afrika ndo kuna mteremko wa kupata maisha safi kirahisi sana. Huenda Prof kwa akili zake kubwa za kiuchumi aliona fursa kwenye siasa akaamua ajikite huko. Hata Mbowe ni DJ mkubwa duniani ila kaamua kujikita kwenye siasa kwa kurithi chama cha Baba mkwe wake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna kipindi zilivuma kwamba Amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa jopo la wachumi duniani na analipwa milioni mia kwa mwezi. Nadhani ilikuwa 2011.
 
Daah.semaa.wabongo.temedanganywaa sana..wakat.m.nasomaa.nlikua.najua lp.n.mtu.namba 1 kwa uchum..nlikua..namuamin@cjui nlikua nauchukuliaje uchumiii:baada ya kumuona akihudumu..daah..@hamna kitu....this goes to Hussein Bashee piaa..nlikua namuamn sana@ila nadhan mechi huwaga rahisi sana ukiitazama tokeaa nje
 
Nimesoma comments on mecheka sana mpaka hapa kijiweni wamehoji kulikoni..nikawaonesha comments zenu, kuna kilaza mmoja hapa bado anaamini Li-pumba nikiboko ya wachumi duniani ahahahhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…