Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

We ndio wale wazee unashirikiana na mabinti zako kuchomoa mimba toka wakiwa Form two afu unakuja kukaza ulipwe mahari kubwa mara koti la baba mara mkaza wa bibi sijui blanketi la mashangazi. tapeli mkubwa
Pole sana
Inaonekana una mihemko sana
Watu kama nyie ndo mnateseka na ndoa maana imewakuta watu wawili inawezekana msiojuwa na akili timamu.

IN SHORT, KAMA UNAOGOPA MAHARI HADI SASA, RUDI UNYONYE UWE NA AKILI YA KUOA
-ACHA KUHARIBU MABINTI ZA WATU KWA KUISHI NAO MAGETONI ILI HALI HAUNA MALENGO YA KUWAOA.
 

Uzi ufungwe. Umemaliza kilakitu. Kwa tuliowahi kubikiri mabinti tunajua kwamba bikra haina umuhimu inaopewa. Mahusiano ni mtazamo, maelewano, tabia na wala siyo bikra.
 
Kwa tunaojua mahari ndio ndoa , ukitoa mahari maana yake umeridhia.

Naungana na mtoa mada bora uishi naye tu kutimiza na wewe haja zako kama walivyofanya wengine kabla yako, kuliko kutoa mahari wakati unajua kabisa sio bikra. Ili mkishindwana arudi kwao.
 
Ila waafrika tuna upumbavu mwingi sana! Hivi unajua hata hao unaosema waolewe wakiwa na bikira huju mtaani tumewachapa sana? Wewe kaa hapo ukijidanganya eti kwa vile unaoa bikira atakuwa wako peke yako!
 
Ila waafrika tuna upumbavu mwingi sana! Hivi unajua hata hao unaosema waolewe wakiwa na bikira huju mtaani tumewachapa sana? Wewe kaa hapo ukijidanganya eti kwa vile unaoa bikira atakuwa wako peke yako!
Usihalalishe umalaya kwa tamaa zako kumbuka hata vitabu vya dini vimekataza zinaa kabla ya ndoa
 
Leo kila nyuzi ni wanawake, si muoane wenyewe mxiew! Waite wapuuzi wenzio uwajaze huo upupu eti bikra nyoo! Kwenu wote wana bikra au na wao malaya kama sisi🙄
😂😂😂😂😂
 
😂😂 Sijawahi kuwaharibu hao mabinti unao watetea nimekuta tayari wameshahariwa huko walikotoka na wewe ndio mlezi..
 
Ndugu unamambo yako wew,kama huna madhambi ya uzinzi na uasherati Muombe Mungu akupe huyo bikra, kwasabb kutest mitambo tu ni kosa, sasa sjui utatest wangapi mpk uipate hyo bikra, skuhizi tunaoa tu ni easy sana ndo tumefika hapa kwasabb ya dhambii🙄, Mahari kwasasa haina dhamani kama vile ambavyo bikra haina dhamani,
Ni kuoa tu no way na hzo mahari tunatoa.
Nb kizazi cha sasa tumefika sehemu mbaya mno, unaweza ukaikuta bikra lakn kumbe malinda hayapo na hautakuja kujua kamwe,
 
Tunapima tundu zote kuangalia kama mchwa wamepita
 
Ndo maana mahari sasa ni 500k-1M, ukilipa zaidi ya hapo ni upumbavu wako.


Ukiona wanakaza, wewe chapa mimba kisha sikilizia, watakutafuta wao wenyewee ukamchukue mkeo.
Kulipa mahali zaidi ya 1m kwa wanawake wa sasahivi huo nao ni ufala mwingine mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…