Oct. 7 ndio iliyozaa haya mauwaji ya sasa ya Gaza.Kwa nini unaanzia na Oct 7 kama vile mgogoro wote umeanzia Oct 7 wakati mgogoro ni wa muda mrefu?
WaislamNani, mimi au Erdogan!?
Hapana, umeanzia habari katikati.Oct. 7 ndio iliyozaa haya mauwaji ya sasa ya Gaza.
Bila hiyo Oct 7 mazungumzo ya kudai inayoitwa haki kwa amani yangeendelea vyema.
Jibu swali languMkuu mbona swali fupi lakini povu jingi π
Wamepigana.Kafuatilie vizuri.Hawajapigana
Una uthibitisho na uongeacho?Hizo jamii mbili Yahudi na Islamu zimekutana, wote ni wazee wa jino kwa jino. Na wote wanakawaida ya kujiona bora kuliko jamii zingine.
Kwao kufutiana vizazi ni kawaida.
Islam kuuwa na kuchinja watoto ni kawaida na Yahudi kuuwa na kuchinja watoto ni kawaida.
Ugomvi haukuanza Oktoba 7,ugomvi ulianza August ambapo israel settlers walikua wakivunja nyumba na kuchoma mashamba ya bedui wa kipalestina kule Jenin.Umeongea vyema
Ila kwa upande wangu sioni kama wapalestina wanaonewa kiasi cha kuwahurumia.
Wameyaanzisha wenyewe, wayamalize wenyewe.
Oct 7 waliuwa watu wasio na hatia hawakuchagua wakuuwa na walisherekea kwa nderemo na vifijo.
Hapo wamekutana na wazee wa jino kwa jino.
Usinifundishe kuhurumia watu wasio na huruma.
Ugomvi ulianza August pang'ang'a wewe.Oct. 7 ndio iliyozaa haya mauwaji ya sasa ya Gaza.
Bila hiyo Oct 7 mazungumzo ya kudai inayoitwa haki kwa amani yangeendelea vyema.
Kwa hiyo wewe ukiunga mkono Palestine, na Spain akiunga mkono Palestine ndio inanifanya na mimi niingie mkono Palestine?Ugomvi ulianza August pang'ang'a wewe.
Hilo mbona lilizungumzwa na ushahidi ulitolewa unaoonesha IDF na walowezi wa Israel wakivunja nyumba za Wapalestina!?
Wewe ni nani mpaka ubishe mzee!?
Mpaka Spain imesadikisha na kuiunga mkono Palestina wewe mngoni unabisha nini!?
Vikao vilifanyika Cairo Egypt.Hiyo Arab peace summit ilifanyika wapi na lini mkuu?
Kuhusu UNRWA nitasema baada ya wewe kunipa jibu la Arab peace summit.
Ahsante sana kiongozi.
Hujielewi.Kwa hiyo wewe ukiunga mkono Palestine, na Spain akiunga mkono Palestine ndio inanifanya na mimi niingie mkono Palestine?
Zwazwa wewe!
Uthibitisho ni sera zao za jino kwa jino.Una uthibitisho na uongeacho?
Usisubiri kuungana dhidi ya nchi moja we tuma kitu, halafu tusikilizie ukungu unavyotandaRaisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View attachment 3002819
Kwa hiyo wewe unajidhania unajua kuliko wayahudi na wapalestina wenyewe?Hujielewi.
Ninachokimaanisha huna unachokijua na uache kushadadia usiyoyajua.
Maana unaongea blunder tupu.
Kila unachoongea uharo tu.
Mataifa yanayotegemea USA yameanza kupungua.Naona hujasoma nilichoandika vizuri.
Marekani ndio sponsor wa hao viongozi wa hizo nchi za Kiarabu, hawawezi kwenda kinyume na matakwa ya bwana mkubwa . Swala la kuwapenda au kutowapenda halina maana sana
Hiyo sera ya jino kwa jino inathibitisha vipi kua waislam wanaua hadi watoto?Uthibitisho ni sera zao za jino kwa jino.
Kuna lingine?
Ona ulivyo unachekeshaπππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ.Kwa hiyo wewe unajidhania unajua kuliko wayahudi na wapalestina wenyewe?
Bure kabisa!
Mataifa yanayotegemea USA yameanza kupungua.
Ndio maana wameanza kumuunga mkono Iran kitu ambacho hakikuwahi kutokea.
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
View attachment 3002819
Ila yanajitahidi kujiengua.Egypt, Saudia, Jordan, UAE, Qatar, Bahrain... zote zipo kwenye mifuko ya Marekani. Nchi peke yake iliyobadili uelekeo ni Yemeni, wengine bado ni maadui wa muda mrefu wa Marekani.