Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

wewe kwa akili zako hizo, unadhani jiwe alikuwa anafata katiba ya nchi au utashi wake?.
 
Huyo muhuni wa Msoga ndiyo anaharibu nchi,msifieni sana Ila siku mukimjua vizuri mtabaki midomo wazi.Nadhani tutaelewana muda ukifika,kwasasa bidhaa ambayo haijapanda Bei ni Chumvi ya mboga tu.
Muhuni ni yule aliyetaka kuvunja katiba atawale taifa hili lenye misingi imara milele, JK alitukomboa kwa kukataa uhuni na kuuzima, usitokee ki #VAN DAME!
 
wewe kwa akili zako hizo, unadhani jiwe alikuwa anafata katiba ya nchi au utashi wake?.
Kwani kuna Rais anafuata katiba Tanzania?toka lini vibaka wa CCM wanafuata katiba?
Hakuna mtu msafi ndani ya CCM ukimuondoa Hayati Mwl.Nyerere?wote wapigaji tu,angalia mishahara yao na maisha wanayoishi ndiyo utagundua kuwa katiba yetu inayosisitiza usitawi wa jamii wa Watanzania wote haifuatwi!
 
Uwehu ni mbaya Sana.
 
Amkamate JK kwa sheria na katiba ipi kwanza?kuna wakati watu wanaandika uongo mpaka wanajisahau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…