Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

Hahaha mkuu, that will be too much aisee. We binafsi utaweza wakati una wanawake watano wanaotambulika kihalali kama wake zako?
Wanaune uwa haturidhiki hata tupewe buku bado atapita dem ana mwanya eti umetamani mwanya, atapita demu ana kidoti, eti utamani kidoti
 
Je, mgeni ukienda huko utabanwa na sheria hiyo?
Na utaratibu wa kuhamia huko ukoje?
Utakuwa free kufungamana na sheria zao mkuu. Kama unatataka kwenda ni shauri lako tu, ila kumbuka kuwa wao kule kuwa na wanawake zaidi ya watatu ni kawaida na wala mke mkubwa na wapili hawakumaind kabisa.. You're free to live your life as long you provide them the necessities as given.
 
mybe kwa nchi yake lakin globally kutokana na ratio ya jinsia ilivyo bado atakuwa hajafanikiwa kumpa kila mwanamke mume .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mama angeamuwa ivyo tungejifaije?
Mama aruhusu na kwetu Tanzania
 

Serikali ya Tanzania wahakikishe sisi raia wa eswatini tuliokuja kipindi cha kupambana na ukoloni turudishwe kwenye nchi yetu ya asili tukasaidie haya mambo mfalme aliyosema, lazima tukaone hao mabinti wanapata haki yao hapo bado mmoja nisimuudhi mfalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…