Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

mbona utambulisho wake ulisha letwa humu hadi familia yake
 
Nguvu iliyo ndani ya mwana wa Mungu lissu sio ya kawaida , kwao alipozaliwa lissu ana jina wanamuita kifaru , hii sio utani anaebisha aje kama sio kweli.


Singida itaenda kutoa rais wa nchi hii, vijana fanyeni mpango wa kuanza kuoa watoto wazuri wa kisingida mtanishukuru badae, mara pa umeoa mjamba wa mh Rais mtarajiwa Lissu , hutofaidika sana ,tokana na machungu kwa nchi aliyonayo uyu Bwana ila tiyari unakua na CV nzuri
 
Ngoja nimpeleke mwanangu wa kiume ukoo wa Alute angalau apate mbegu za mbali.mbali
 
Kama ni hivi Mpka Lissu atoke gerezani maafisa watafaidi sana.

TL ni Mbarikiwa.
 
Hawa watu hawashituki tu?
Ni kama wale walioshupazaga shingo kumpigia Yesu Kristo kelele za "asulubiwe, asulubiwe, asulubiwe..."

Wanapiga kelele asulubiwe bila kujua kuwa wanamsulubisha Mungu wao aliyekuwa amebeba uhai wao, hewa waliyokuwa wanaivuta na kuwafanya wapige kelele vile...

Hawa nao, ni kama wajinga wasiolewa kuwa, wanamtesa mtu wa HAKI aliyeibeba Tanzania mikononi mwake wao wakiwemo...

Majuto ni mjukuu...
 
Kufa na wewe kwa vile katika ukoo wenu mko wengi 2000 na huna faida kwao.
Uyu mgogo anajikuta sana ,mbaya zaidi hata mgogo mwenzie Ndugai hajaenda kumzika.

Mtu kapuku ila daily jifanya anaipenda ccm ,ccm ni kwa sasa ni chama cha mafisadi papa ambao hujiita matajiri ,mwana ccm wa jembe na nyundo katika chama hana nafasi .

Mfano juzi pale mlimani city nani mwanaccm maskini amealikwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…