Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

Hivi na sisi wa Tanganyika , hivi tumeshindwa kabisa kwa umoja wetu kukataa hii mifumo ya watu tena kakikundi ka chache kanachoamua kuua maelfu na kuumiza ,kuteka na kudhurumu watanganyika.?
 
Mkuu TISS ni chombo Cha ikulu, ambacho kinamtumikia Rais na siyo wana-nchi yaani ni kama genge flani hivi ambalo Rais anamiliki kutawala nchi.

Kuhusu ushiriki wa Abdul kwenye uongozi huu, nadhani hilo halina shaka kulinga na tuhuma nyingi sana, vithibitisho, na viashiria ambavyo vinaonyesha wazi kabsa. Abdul ana full power kwenye huu utawala.

Kwahiyo kumhusianisha na huu uongozi hilo halikwepeki.
 
Abdul juzi alikuwa kwa Museveni ameenda kutafuta Wawekezaji akapiga na Kideo kabisa ...Alitumwa na nani na kama nani?!
 
Hujajibu swali, jibu kwanza ili ijulikane km abduli anayosukumiwa yana mashiko..
Unataka ujibiwe kihuni na unavyotaka halafu upewe majibu gani?Ushahidi wa kimazingira unawaingiza hatiani achilia mbali uchunguzi wa kisayansi uliofanywa na wenye akili timamu duniani.Wewe na wenzako wachache mmekazania ushahidi wa tume za kipuuzi na za kubumba zipike taarifa kusafisha uhalifu wa wauaji!?
 
Sawa tu ..ila siyo mbaya...
Kwahiyo Mzee Warioba alipompigia simu aka confirm kuwa barua ni ya kwake kweli alikuwa chini ya Ulinzi wa Team Abdul?!!!
Apo ndo mvurugano unapokuja sasa..!
According to Mzee Warioba hakumpata kuanzia siku inayofuata, Jasusi Tv i confirm kwanz taarifa zake kabla hazijaenda hewan zisiwe na mkanganyiko
 
Muda utaongea ukweli wa hizi taarifa ila hizi tetesi zinaweza kuwa na ukweli kama tetesi ya kujiuzuru ila kuna kitu kitatokea sidhani kama itaisha hivyo hivyo..
Sio kweli huyo anandugu na familia wangeshajitokeza alafu sio rahisi kufanya hivyo.
 
Pole mkuu,

rest easy kamanda Mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…