Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii namba 3🤣🤣🤣 dadeq
😂 umelewa..? we si umeolewa na watoto watatu kabisa upo sawa kweli..?Kataa ndoa, ndoa ni utumwa......
nadhani uzi ungeishia hapa.... huwezi kuwa mwanaume alafu ukawaza mambo hasi kiasi hiki cha mleta mada watu wanaoana ili kuunganosha familia.... sikatai zipo familia za hivyo ila ukizidiwa na mwanamke sjui maswala ya ndugu basi haustahili kuwa kichwa cha familia....Hivi wanawake wa hivi mnawaokotaga wapi..🤔
Na ukiona hayo yanatendeka, basi jitambue kwamba wewe sio kichwa cha familia.
tatizo linaanzia kwenye malezi inamaana mleta mada dada yake akiolewa watakua wategemezi kwa wakwe zao ukiona mwanaume ana mawazo haya inatia mashaka hata mstakabali wa maisha yakeKuna watu mna bahati mbaya ya kuoa au kuolewa na familia za ajabu jamani...
Mm toka nimeolewa mama yangu mpk aje kukaa kwetu ni mumbembeleze haswaa na akija hawezi kukaa zaidi ya wiki..ndugu zangu ndo kabisa kila mtu na kwake labda itokee function au mkutane kwny sherehe huko..so hii ishu haiapply kwa familia zingine..yani mama yangu anishawishi ujinga...hahaha na alivyokua strict na amenyooka...dooo hii kali..any way it depends na familia zenyu...
Wengine hatunaga unafiki..tupo real..sasa wapi nimesema familia bora? Je kama kila mtu karidhika na hali yake?? Braza vipi ww?je kama wazazi ndivyo walivyojipangia hawataki kukaa kwa wtt na kusumbua? Hapo haina uhusiano na hali ya uchumi au familia bora hapo ni malezi ya wazazi walivyolelewa na kuja kulea watoto wao...shida yenu jeifu ndo hiyo mnapenda kusikia mabaya tuu..mara nina wifi wabaya..mume mbaya..mama mkwe sijui ana mdomo...tunashukuru Mungu wengine ni kwa neema...daah ukiwa jeiefu burdani sana..hapa kila mtu anatoka familia bora. hakuna kajambanani hapa[emoji38]
Btw kuna makabila ukijichanganya tu kutembea na binti yao utajijua hujui.
picha linaanza mamamkwe anahamia mazima apo unapokaa na binti.
ujakaa sawa mashemeji wanahamia wao na kuku na mbuzi zao.
kumbuka apo wewe na binti ni wachumba tu bado hata hujaamua kama utamuoa uyo binti.
Kabisa malezi ndo chanzo cha yote hayo..tatizo linaanzia kwenye malezi inamaana mleta mada dada yake akiolewa watakua wategemezi kwa wakwe zao ukiona mwanaume ana mawazo haya inatia mashaka hata mstakabali wa maisha yake
ni wanyira hao, ilamba nkulu kuliko tanzania, musuli wa mpopo mukati nama mbwanedaah ukiwa jeiefu burdani sana..hapa kila mtu anatoka familia bora. hakuna kajambanani hapa[emoji38]
Btw kuna makabila ukijichanganya tu kutembea na binti yao utajijua hujui.
picha linaanza mamamkwe anahamia mazima apo unapokaa na binti.
ujakaa sawa mashemeji wanahamia wao na kuku na mbuzi zao.
kumbuka apo wewe na binti ni wachumba tu bado hata hujaamua kama utamuoa uyo binti.
HILI NALIJUA...NA NIMELIFANYIA KAZI MIAKA MINGI NA HAWANA HAMU NA MIMI KABISAEwe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache
1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama silaha ya kuangamiza ndugu zako wasikanyage kwako ila ndugu zake tuu .
2.wakwe wengi huamini jukumu la kufanya maendeleo nyumbani kwao kama vile kujenga ukweni,kusaidia na kusomesha mashemeji ni la kwako hivyo mkeo atatumia silaha ya convince power upeleke maendeleo kwao
3.Na ikitokea umepata nafasi ya juu serikalini watahakikisha wanakufanyia kitu ambacho kitakufanya usahau ndugu zako na maisha yako yawe chini yao lengo ni kuhakikisha fursa zote serikalini wakwe ndio unawapa kipaumbele na hapa ndipo mwanamke hupewa silaha nyuklia na mkeo na mama yake kuhakikisha haufurukuti wala kufanya lolote lile .
Mwisho kabisa kama wewe ni mtu wa misimamo usiependa kuendeshwa wakwe zako na mkeo watakuchukia lakini pia hata usipokuwa mtu wa misimamo wakwe zako pia watakuchukia kipindi tiyali umeishiwa watakuona kama threat na mzigo kwao na kwa dada yao hivyo hiyo ndoa wanaona bora ivunjike kuliko kumuona mtoto wao anaishi maisha ya shida na wewe hivyo hata ikitokea mmegombana suluhisho wanaona ni bora muachane lakini kabla ya hujafilisika mkigombana kidogo wakwe hujitahidi kufanya juu chini ndoa yenu isivunjike tena mama mkwe yupo tiyali kukupigia magoti umsamehe mtoto wake .
Mwisho kabisa vijana kuweni makini usione wakwe na mashemeji wanakuchekea juu ya dada yao ukaona unapedwaaa kaa nao kwa akili hao watu
Bro ulihudhuria harusi yangu??? 🤨😂 umelewa..? we si umeolewa na watoto watatu kabisa upo sawa kweli..?
shauli yakoBro ulihudhuria harusi yangu??? 🤨