Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Wanaolalamika ni wale waliozoea maeneo yao kupata upendeleo mpaka wakaona ni haki kwao tu kuwa na miundo mbinu bora.Ule uwanja ni kwa ajili ya mkoa wa Geita sio Chato. Hata Mwanza kama kuna emergency ndege inaweza kutua chato kwa muda.
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Teh teh teh teh chato,,,Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Nani kakwambia Chato wanahitaji mbuga ya wanyama na airport? Wakati wamezungukwa na shule hazina madawati na sakafu?
KabisaWanaolalamika ni wale waliozoea maeneo yao kupata upendeleo mpaka wakaona ni haki kwao tu kuwa na miundo mbinu bora.
Kama taifa tulifikia mahali ambapo baadhi ya maeneo yakajipa uhalali wa kuwa na vilivyo bora .
Halafu watu hao ndio wanamuita rais kuwa ni mtu mkabila wakati wao ndio wenye ukabila na ubaguzi mkubwa.
baadhi tu niNaomba unipe manufaa matano ya uwanja wa ndege wa chato kwa wanachato
Kwa hiyo huo uwanja ni kwa matumizi ya wananchi wa Chato tu?Watu wa chato wenyewe wanashangaa huo uwanja wa ndege unawasaidieje?
Taja huo umuhimuKwako wewe unaekariri maneno ya msomi uchwala Lissu. Kwetu sisi Geita na Mwanza una umuhimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1.Kujifunzia kuendesha bodaboda na baiskeli.
.2.Kuanikia mahindi, unga, mihogo,
3.Kijiwe Cha kuvutia,
4.kuchungia
5.playground za watoto kuchezea.
Kwa uchache,hayo Ni matumizi mbadala pia.
Yaani umuhimu wa uwanja wa ndege mpaka utajiwe? Kuna ndege kibao zinashuka Geita kupitia huu uwanja.
Tena kajenga kwenye kiwanja/shamba lake la ukoo wa ng'ombe yapeKwani siyo kweli kwamba uwanja wa ndege umejengwa Chato nyumbani kwa Magufuli?, kama ni suala la kuwagawa wananchi nafikri anayeongoza kuwa gawa wananchi ni mgombea wa CCM mwenyewe,ambaye akiwa maeneo ya nyumbani kwao anasema kuwa wananchi wa huko wampigie kura kama mtoto wa nyumbani,
Na wengine anawaambia kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwao kwa kuwa walichagua upinzani na katika uchaguzi ujao wachague maendeleo au majuto kwa kipindi cha miaka5.
Hapo nahisi ataparuka...Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Kiukweli ule uwanja ni kwa ajili ya mwana geita/ chato mmoja tu.Kwako wewe unaekariri maneno ya msomi uchwala Lissu. Kwetu sisi Geita na Mwanza una umuhimu.
Unajenga Uwanja wa mabilioni ya shilingi kwa sababu eti ya dharura (emergency) ambayo inaweza kutokea mara mojà au isitokee milele, wenye akili wanajiuliza Uwanja utatumikaje wakati hakuna dharura? Imeshuhudiwa mara nyingi tu ndege zikitua kwa dharura barabarani, mashambani hata majini, je wale wakulima waliohamishwa kupisha Uwanja wangebaki na mashamba yao ndege zisingetua tu kwa dharura?Ule uwanja ni kwa ajili ya mkoa wa Geita sio Chato. Hata Mwanza kama kuna emergency ndege inaweza kutua chato kwa muda.
Ukitaja mambo matano nakutumia buku 100000 sasa hivi
Hiyo emergency nimekupa mfano tu. Lakini kuna watalii na wakazi wa Geita watautumia tu cha msingi ni Atcl au Kampuni ya ndege iwe na route kwenda Geita.Wewe huna akili kama huyo aliyejenga Uwanja wa Kimataifa hapo. Unajenga Uwanja wa mabilioni ya shilingi kwa sababu eti ya dharura (emergency) ambayo inaweza kutokea mara mojà au isitokee milele, wenye akili wanajiuliza Uwanja utatumikaje wakati hakuna dharura? Imeshuhudiwa mara nyingi tu ndege zikitua kwa dharura barabarani, mashambani hata majini, je wale wakulima waliohamishwa kupisha Uwanja wangebaki na mashamba yao ndege zisingetua tu kwa dharura? Uwanja umechukua maelfu ya ekari za ardhi nzuri kwa kilimo, je Wilayani au Mkoani humo hakuna wananchi wasio na ardhi ambao wangenufaika kama wangegawiwa eneo hilo kwa shughuli yoyote ile? Ujenzi wa Uwanja huo unaleta maswali mengi kwa wasio Wasukuma, hususani kutambua kuwepo Uwanja wa Mwanza na ule wa Bukoba.