EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

Kazi ipo.

Yaani ndani ya mwezi mmoja bei imeongezeka kwa zaidi ya shilingi 800.

Huyu mama hana mbinu yoyote ya kukabiliana na mfumo wa bei, bando bei ghali, mafuta bei ghali, mshahara haiongezeki miaka 7.

Hii nchi sijui nani alituroga.
Hiyo sh 800 mbona haifiki hata robo ya tip tunayoacha bar? Mwulize hata Evelyn Salt anajua. Tena tuaachaga bila hata shuruti wala kulipiwa kodi yoyote. Si bora vituo vya mafuta watoaga risiti?
 
Mwachen aupige wakutosha. Hahaha
 
Badala ya kutumia pesa kuagiza mafuta waweke reserve wajenge hata emergency reserve kwa dharula usiku na mchana wao hela wanatumia kufanya utalii angani..

Tutakukumbuka magufuli hakika ungekuwepo atleast bei ingekuwa himilivu.
 
Tukimlaumu Rais samia tunamuonea tu nina uhakika huyu mama mambo mengi ya Tanzania hayajui

Rais samia anamsikiliza mstaafu katika kuongoza nchi na teuzi nyingi anapangiwa na mzee na mama analipa fadhila kwani ndiye aliyempa umakamu wa Rais uliopelekea akaupata uRais

Ndugai yale maneno hakuropoka anajua nchi imeharibika

Hili kundi linaiba pesa litakalowafanya uchumi ubaki kwa watu 15 tu na ndio watakuwa na maamuzi ya siasa za Tanzania

Wameshamiliki chama
Wameshamiliki uchumi
Wameshamiliki media kubwa
Watamiliki nishati
Wanamiliki biashara

Magufuli umekufa na ndoto zako baba za kuifanya tanzania kuwa nchi ya usawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…