Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Siku hizi Mbowe amekua WenjeMbowe ulilaniwa siku uliyoshangilia kifo cha Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi Mbowe amekua WenjeMbowe ulilaniwa siku uliyoshangilia kifo cha Magufuli
Jinga hilo. Liko tayr hata age Babake lkn sio hilo LiMungumtu lakeKwahiyo unaabudu magufuri kuliko aliyekuumba?
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu.
View attachment 3181601
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili msaidie.
Wenje anasema yeye ndo alimuunganisha na Lissu.
Watu wanajiuliza, Abdul si mwajiliwa wa Serikali, hana cheo chochote nchini. Alitaka kumsaidia kama nani?
View attachment 3181617
Awali Tundu Lissu alidai alifukuza Abdul na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA(Wenje) ambao walienda kwake kumhonga ili apunguze kuongea. Kwamba walienda kumlainisha ili aache kuusumbua Utawala wa Rais Samia. Akawafukuza na kuwaambia wasikanyage kwake tena.
Wenje anagombea Umakamu mwenyekiti chadema Taifa.
Umesikiliza clip ya pili? au unaropoka tuWenje anajidhalilisha, ni Bora angeendelea kuwakimbia Waandishi habari.
Tena tena anamsifia eti ni muungwana na ni mtu mwenye high profile. Sijui zinamtosha kweli.Abdul alikwenda kwa nafasi gani aliyonayo kwenda kuchukua hizo karatasi za Lissu?
Kuwa mtoto wa raisi napo ni wadhifa wa kuweza kushurtisha/kufuatilia malipo ya mtu?
Angekuwa na busara huyu Bw. Wenje ni bora angekaa kimya tu. Anajidhalilisha yeye na huyo Abdul wake.
Hatari sanaMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu.
View attachment 3181601
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili msaidie.
Wenje anasema yeye ndo alimuunganisha na Lissu.
Watu wanajiuliza, Abdul si mwajiliwa wa Serikali, hana cheo chochote nchini. Alitaka kumsaidia kama nani?
View attachment 3181617
Awali Tundu Lissu alidai alifukuza Abdul na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA(Wenje) ambao walienda kwake kumhonga ili apunguze kuongea. Kwamba walienda kumlainisha ili aache kuusumbua Utawala wa Rais Samia. Akawafukuza na kuwaambia wasikanyage kwake tena.
Wenje anagombea Umakamu mwenyekiti chadema Taifa.
Duh wakiileta nipigwe mawe mchana kweupe.Inasemwa kuna footage ya lissu akiwatimua wenje na abdul kwake baada ya watu hao kufungua briefcase
Inasemwa wenje alitumwa na chairman kumlainisha mtata lissu
Naiomba iyo video nipo ktk hatua za kuandika kitabu kuhusu vyama vya upinzani Tanzania
Mshana JrInasemwa kuna footage ya lissu akiwatimua wenje na abdul kwake baada ya watu hao kufungua briefcase
Inasemwa wenje alitumwa na chairman kumlainisha mtata lissu
Naiomba iyo video nipo ktk hatua za kuandika kitabu kuhusu vyama vya upinzani Tanzania
Wewe ndiyo una tabia ya kijinga sana kwani ushahidi upi unataka uletewe hapo ghetto kwa mbowe ? Wenje alikubali kuwa walikwenda nyumbani kwa Lisu hajakataa kwenda kwa Lisu iweje wewe chawa wa mbowe uombe ushahidi wakati unamwona Mbowe ni mungu wako na malaika wako , ushahidi upo utapelekwa kwa watu wenye Akili Timamu siyo wewe chawa njaa mnufaika wa pesa za wizi wa mboweDuh wakiileta nipigwe mawe mchana kweupe.
Lissu ana tabia masingizio ya kijinga pasipo ushahidi akibanwa alete ushahidi atakwambia umeme wa TANESCO uliharibu vifaa vyote nyumbani.
Pascal mayala keshashituka kawa mjanja hataki kusimama na Taarabu masimango ya mbowe hata pesa za mbowe ameziogopa baada ya kujua kumbe mbowe ni mwizi wa pesa za chadema kisha anazitakatisha kwa kutengeneza madeni hewa anajilipa na kujimilikisha Hazina ya chadema kwa njia haramu na sasa hiyo pesa inatumika kuununua uenyekiti na inatumika kumdhoofisha Lisu mapema
Kachukue Kwa kaflag 🐼Inasemwa kuna footage ya lissu akiwatimua wenje na abdul kwake baada ya watu hao kufungua briefcase
Inasemwa wenje alitumwa na chairman kumlainisha mtata lissu
Naiomba iyo video nipo ktk hatua za kuandika kitabu kuhusu vyama vya upinzani Tanzania
Mawe upigwe kwani ushahidi hauletwi kwa chawa wanufaika wa pesa za chadema zilizoibwa na mbowe ushahidi anapewa mtu mwenye Akili timamu siyo wewe uliyejitoa fahamu zote na kumwona Mbowe ni mungu malaika hana DhambiDuh wakiileta nipigwe mawe mchana kweupe.
Lissu ana tabia masingizio ya kijinga pasipo ushahidi akibanwa alete ushahidi atakwambia umeme wa TANESCO uliharibu vifaa vyote nyumbani.