Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

Sema na huyu Mama nae msosi wa baba ungewekwa hata kwa hotpot
Sasa msosi unaachwa kwenye sufuria ujipashie kweli?? Wapumzike kwa amani bna .daah


Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Kuna wanaume wengine hawapendi chakula Cha kukaa kwenye hotpot best, mi nilishaona familia moja mwanaume hata arudi saa 10 asubuhi mke ataamka ampikie Kama ni wali au ugali Ila Hali chakula Cha kukaa muda mrefu.
So tusimlaumu huyu maana hatujui ya ndoani yalikuaje
 
Yaani urudi nyumbani ushakula ulipotoka.... unataka usifunguliwe mlango wewe...
 
Tuweke fire extinguishers ndani jamani sio ufahari ni kifaa muhimu cha uokozi hasa kama nyumba ina matumizi ya gesi na umeme kwa muda mwingi!

Poleni sana kwa msiba, Muumba awape pumziko la Amani marehemu.
 
Very sad [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Jamaa alirudi home amelewa. Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late. Kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana

Aisee!!!!
 
Sema na huyu Mama nae msosi wa baba ungewekwa hata kwa hotpot
Sasa msosi unaachwa kwenye sufuria ujipashie kweli?? Wapumzike kwa amani bna .daah

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app

Ndugu yangu heri yako wewe unayewaza hayo! Kwangu kuna hotpot za kila aina na kila kitu, ila kwenye sufuria kama kawa nikirudi
 
Wake zetu washatuzoea boss. Maisha yanaenda pombe ishakuwa perfume kwao, wewe endelea kunywa chai na siagi si tunywe supu rahisi tu. Kwenye pato la taifa wanywaji ni wachangiaji wakubwa


R.I.P kwa marehemu na familia yake

Hongereni wachangiaji wa pato la Taifa
 
Ndugu yangu heri yako wewe unayewaza hayo! Kwangu kuna hotpot za kila aina na kila kitu, ila kwenye sufuria kama kawa nikirudi

Na hapo ulilazimishwa sana kununua mahot pot ila ndio hivyo hayatumii.....Ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili.
 
Oh Jesus christ
 
Jamaa alirudi home amelewa. Akataka kupasha msosi ale, akawasha gesi hakuona kiberiti. Akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late. Kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana
Saa 9 usiku jamani? Mmmm shida sana, sasa hapo sijui ndiyo kazi ya Mungu haina makosa au uzembe wa binadamu huleta maafa?
 
Duh, gesi hainaga kuremba, yaani una operate jiko la gesi ukiwa tungi?
Yaani ni hatari zaidi ya hatari halafu ukute mpira unavuja Mungu wangu, na mipira wenyewe unatakiwa kutumia si zaidi ya miaka 5 na wengi hatuelewi hilo, pole kwa familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…