Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Kuna watu mbele ya pesa roho nzuri mkiwa nayo nyinyi inatosha aibu mtaona nyieAlikua mtaani tu, jamaa mmoja kampanga ndio anajifanya mwalimu..... anapiga simu kupitia huyo fake teacher, hela inatumwa kwa namba ya huyo fake teacher.
Kuna watu wana roho mbaya sana sijui angekua ndugu yake angefanya hivyo pia.
Sasa analaumu vipi kwa ujinga wake mwenyewe? Kuna jamaa nilisoma nae ilimkuta kama hiyo alidisco UDOM akatafuta nafasi chuo kingine kimya kimya bila kwao kujua na mwaka wa masomo ulivyoanza akawa analipa ada anazopewa na wazazi na aligraduate. Siku ya mahafali ndio wazazi wakajua alidisco UDOM baada ya kufanya mahafali chuo kingine na sio Udom.Ukute alidisco.
Dogo alidisco chuo na hakutoa taarifa, tukawa tunalipia ada vizuri mpaka mwisho na hakuwa na mkopo hivyo gharama ilikuwa kubwa. Kamaliza naye akatwambia haina haja ya sie kwenda kwenye graduation.
Akaazima joho la mwenzake akapigia picha kisha akatutumia. Kimbembe kikaja kwenye kutafutiwa kazi, kila mchongo tunaopanga haendi interview kumbe vyeti hana. Kakazana yeye kuajiriwa hataki anataka kujiajiri. Basi atueleze anataka kujiajiri kwenye nini kila siku ana business plan mpya. Tukagundua hapa hamna wa kujiajiri tukomae tu aajiriwe. Ndio rafiki yake kuja kutueleza ukweli baada ya kuona tunahangaika sana.
Now yupo yupo tu haeleweki na umri unazidi kusonga na hana mishe ya maana. Kabakia kulaumu tu kila mtu.
Acha tu, anadai tulimnyima mtaji, wakati mama alimpa akaishia kula. Sasa acha afanye kazi atafute mtaji mwenyewe aone kama ni rahisi.Sasa analaumu vipi kwa ujinga wake mwenyewe?
Bora huyu alijiongezaKuna jamaa nilisoma nae ilimkuta kama hiyo alidisco UDOM akatafuta nafasi chuo kingine kimya kimya bila kwao kujua na mwaka wa masomo ulivyoanza akawa analipa ada anazopewa na wazazi na aligraduate. Siku ya mahafali ndio wazazi wakajua alidisco UDOM baada ya kufanya mahafali chuo kingine na sio Udom.
YAH SahihiBora azingue school halafu awe na akili za kulisongesha sreet
Huyo anadeka anadhani maisha yatamdekeza awazi kuna leo na kesho na anaona kuwa msaada ni haki yake. Mmefanya vizuri kumuacha atafute mtaji mwenyewe ili akipata awe na nidhamu.Acha tu, anadai tulimnyima mtaji, wakati mama alimpa akaishia kula. Sasa acha afanye kazi atafute mtaji mwenyewe aone kama ni rahisi.
Bora huyu alijiongeza
Sio siri tulimdekeza, kalikuwa bright sana shule hivyo hata hatukuwa na wazo la kufuatilia maendeleo yake chuo kwakuwa tulimwamini. Na hatukutaka aje aanze kuteseka kulipia mkopo wa serikali akiajiriwa au kujiajiri. Kumbe akenda kuzuzuka chuo hata vipindi akawa hahudhuriiHuyo anadeka anadhani maisha yatamdekeza awazi kuna leo na kesho na anaona kuwa msaada ni haki yake. Mmefanya vizuri kumuacha atafute mtaji mwenyewe ili akipata awe na nidhamu.
Baba MSWATI Tulia mjomba atafunzwa na ulimwengumkuu, tatizo familia tumepambana sana juu yake hasa mimi uncle wake sabab mama yake alifariki alimuacha akiwa kidato cha Nne
Huyo ndio mjomba wa watoto wako mkuu a.k.a Anko kiparaBora hata huyo level ya juu Kuna namna za kufanya.
Sasa huyu kijana hata cheti cha form four tu hakuna, options nyingi zimeshindikana
Huyo ndio mjomba wa watoto wako mkuuBora hata huyo level ya juu Kuna namna za kufanya.
Sasa huyu kijana hata cheti cha form four tu hakuna, options nyingi zimeshindikana
Bro niache πππHuyo ndio mjomba wa watoto wako mkuu a.k.a Anko kipara
Na mtu wa hivyo haaminiki tena kwenye familia hasa kwenye ishu ya helaSio siri tulimdekeza, kalikuwa bright sana shule hivyo hata hatukuwa na wazo la kufuatilia maendeleo yake chuo kwakuwa tulimwamini. Na hatukutaka aje aanze kuteseka kulipia mkopo wa serikali akiajiriwa au kujiajiri. Kumbe akenda kuzuzuka chuo hata vipindi akawa hahudhurii