Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Unalipiwa private school high school kwa sababu gani?Mzee wako alikuwa mkaksi sio?
Jau sana hiyo, sema na wewe ulikuwa mwoga kinyama, yaani. Division 2 bado unadhani umefeli
Kuna mdogo wangu pia aliwahi kufanya huu mchezo,alianza vizuri chuo,.matokeo ya mwaka wa kwanza yakawa poa...tukaamini tusimfatilie ni kwamba anajitambua,kumbe kuanzia mwaka wa pili mpka wa nne maana alikuwa anachukua bachelor ya Law,dogo hakuendelea na masomo.Hamdanganyi mtu anajidanganya mwenyewe kama ni hivyo.....
Mwaka flani dogo alitoka kucheki matokeo yake ya form four, akarudi home analiaa vibaya sana kuwa kafeli, bi mkubwa kambembeleza pale kijana wake.
Baada ya siku kupita nikamuuliza ulipata four ya ngapi, points anazosema sio za four, kwenda kwenye shule kucheki matokeo jina halipo. Kumbe hakufanya pepa alitimliwa akiwa form two kwahiyo akawa na kazi ya kula ada kila term, anatumiwa pesa za matumizi akiwa huko mkoa wa tofauti, wakati wa likizo anatumiwa nauli, wakati wa kuondoka anafanyiwa shopping ya shule....kumbe yupo tu kitaa.
Matokeo anayaona leo, alikua anajidanganya mwenyewe
Maisha yanaumiza sana imagine mtu amekula ada na pesa ya matumizi angelianzisha hata kitu mwisho wa siku akaja kuwaweka wazi situation yake angekuwa sehemu salama ya kuaminiwa na wanafamilia .Ukute alidisco.
Dogo alidisco chuo na hakutoa taarifa, tukawa tunalipia ada vizuri mpaka mwisho na hakuwa na mkopo hivyo gharama ilikuwa kubwa. Kamaliza naye akatwambia haina haja ya sie kwenda kwenye graduation.
Akaazima joho la mwenzake akapigia picha kisha akatutumia. Kimbembe kikaja kwenye kutafutiwa kazi, kila mchongo tunaopanga haendi interview kumbe vyeti hana. Kakazana yeye kuajiriwa hataki anataka kujiajiri. Basi atueleze anataka kujiajiri kwenye nini kila siku ana business plan mpya. Tukagundua hapa hamna wa kujiajiri tukomae tu aajiriwe. Ndio rafiki yake kuja kutueleza ukweli baada ya kuona tunahangaika sana.
Now yupo yupo tu haeleweki na umri unazidi kusonga na hana mishe ya maana. Kabakia kulaumu tu kila mtu.
Kuna mdogo wangu pia aliwahi kufanya huu mchezo,alianza vizuri chuo,.matokeo ya mwaka wa kwanza yakawa poa...tukaamini tusimfatilie ni kwamba anajitambua,kumbe kuanzia mwaka wa pili mpka wa nne maana alikuwa anachukua bachelor ya Law,dogo hakuendelea na masomo.
Akawa anapewa ada pamoja na mahitaji mengine yote,maana hakuwa na mkopo wa loan board,.
Kazi yake ilikuwa ni kutafuna zile ada,,na ni ada kubwa kiasi maana alikuwa anasoma chuo cha private..
Tulikuja kushtuka mwaka wa mwisho,kwenda chuo tukaambiwa huyu aliishia mwaka wa kwanza..
Tuliumia sana,dogo kuulizwa akaamua kusepa almost mwaka mzima hatujui yuko wapi..akaja kurudi na kuomba msamaha...
Mama yetu ana upendo sana,sisi tulikataa kabisa asisaidiwe tena..ni kweli dogo akarudi tena chuo kusomea Education..amemaliza chuo 2023,,mpaka leo yupo anambwela mbwela,ajira hajapata na umri umeenda ana almost 31,anabaki kuomba asaidiwe mtaji.imagine alitakiwa amalize chuo 2018 akiwa na umri mdogo.
Division 2 ni upper second class, so ni jambo la kujivunia tuache kuwafanya madogo marobotiUnalipiwa private school high school kwa sababu gani?
Hivi nyinyi vijana mna akili sawasawa kweli?
Hiyo dhambi lazima imtafune tu , sisi mdogo wetu wa mwisho tulimsomesha wenyewe hakupata hata mia lakini nilikuwa nafunga safari hadi chuoni alikopanga naenda kupaona na kuonana na mwenye nyumba hadi anamaliza alikuwa anaona tunambania ila sasa hivi anatushkuru sana na alipata bahati ya kuajiliwa taasisi kubwa hapa tzKuna mdogo wangu pia aliwahi kufanya huu mchezo,alianza vizuri chuo,.matokeo ya mwaka wa kwanza yakawa poa...tukaamini tusimfatilie ni kwamba anajitambua,kumbe kuanzia mwaka wa pili mpka wa nne maana alikuwa anachukua bachelor ya Law,dogo hakuendelea na masomo.
Akawa anapewa ada pamoja na mahitaji mengine yote,maana hakuwa na mkopo wa loan board,.
Kazi yake ilikuwa ni kutafuna zile ada,,na ni ada kubwa kiasi maana alikuwa anasoma chuo cha private..
Tulikuja kushtuka mwaka wa mwisho,kwenda chuo tukaambiwa huyu aliishia mwaka wa kwanza..
Tuliumia sana,dogo kuulizwa akaamua kusepa almost mwaka mzima hatujui yuko wapi..akaja kurudi na kuomba msamaha...
Mama yetu ana upendo sana,sisi tulikataa kabisa asisaidiwe tena..ni kweli dogo akarudi tena chuo kusomea Education..amemaliza chuo 2023,,mpaka leo yupo anambwela mbwela,ajira hajapata na umri umeenda ana almost 31,anabaki kuomba asaidiwe mtaji.imagine alitakiwa amalize chuo 2018 akiwa na umri mdogo.
Sahihi kabisa,alikuwa hanywi kabisa wala kuvuta mpasa sasa hanywi wala kuvuta.Tena unaweza kuta hali bange na hanywi pombe.
Yaan maamuzi yake anafanya akiwa sober.
"Maamuzi yako leo , ni matokeo ya Kesho"
Inaumiza sana mkuu...Hiyo dhambi lazima imtafune tu , sisi mdogo wetu wa mwisho tulimsomesha wenyewe hakupata hata mia lakini nilikuwa nafunga safari hadi chuoni alikopanga naenda kupaona na kuonana na mwenye nyumba hadi anamaliza alikuwa anaona tunambania ila sasa hivi anatushkuru sana na alipata bahati ya kuajiliwa taasisi kubwa hapa tz
Unahisi shida ni nini hasa mtoto kuchukua maamuzi magumu kama haya?.Sahihi kabisa,alikuwa hanywi kabisa wala kuvuta mpasa sasa hanywi wala kuvuta.
Unajivunia division tu unaelewa ni kwa nini unasomeshwa Private school na siyo shule ya serikali?Division 2 ni upper second class, so ni jambo la kujivunia tuache kuwafanya madogo maroboti
Umesahau vitu wiwili tu.Alikua mtaani tu, jamaa mmoja kampanga ndio anajifanya mwalimu..... anapiga simu kupitia huyo fake teacher, hela inatumwa kwa namba ya huyo fake teacher.
Kuna watu wana roho mbaya sana sijui angekua ndugu yake angefanya hivyo pia. 🙁
Nimekwambia mtu kupata division 2 sio kuwa hajui, yeye sio roboti..Unajivunia division tu unaelewa ni kwa nini unasomeshwa Private school na siyo shule ya serikali?
High school za serikali mbona ziko vizuri sana?
Watu wa hivyo hata akili ya kuanzisha kitu mara nyingi wengi wao huwa hawana.Maisha yanaumiza sana imagine mtu amekula ada na pesa ya matumizi angelianzisha hata kitu mwisho wa siku akaja kuwaweka wazi situation yake angekuwa sehemu salama ya kuaminiwa na wanafamilia .
Haitasaidia kitu kumpa shinikizo na matarajio yenu makubwa kwake.mkuu, tatizo familia tumepambana sana juu yake hasa mimi uncle wake sabab mama yake alifariki alimuacha akiwa kidato cha Nne
Samahani mkuu hili neno ni la kiingereza kweli na lina maana gani?prospond
Huyo kawapiga mkuu. Wapo wengi wa aina hiyo. Binti mmoja aliwahi kuidanganya familia yake wakawa wanamtumia hela anakula na kidume chake. Siku ya graduation akawaletea degree ya mtoto wa kiume {Bsc Baby Boy (Hons)}. Hawa watoto wetu wa AI tuwe nao makini sana.habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote asiende kwenye mahafari hayo yaliyo fanyika october 15!
Wadau nilikuwa naomba mdau yoyote humu mwenye kitabu cha wahitimu udsm 2026 anisaidie kwenye website udsm sijafanikiwa kuona, ili niweze kutazama jina lake kama kweli ni miongoni mwa wahitimu!
Acha kabisa, mambo ya expectations. Wakuu wa shule wakuda Wanalinganisha na matokeo uliyokuja nayo kutoka O level, Yule mkuu sasa HV ana cheo hao walio chini Yake nawaonea hurumaDv Two umefeli mpaka mkuu wa shule kamtafuta mzazi?