Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

Ila UDSM ni lidubwana hatarii sanaa...

Mimi kuna ndugu yangu wa Kike aliniomba ushauri wa kozi ya kusoma chuo. bila hiyana nikamlengesha kwenye kozi moja ya sayansi nikiwa na imani atamudu..

Mwaka wa kwanza fresh pamoja na kasupp kamoja, balaa mwaka wa pili alikamatwa na walimu kama wanne ivi ikawa automatic Disco.. ila binti alikuwa jasiri akatoa taarifa mapema... siku ananiambia sikuweza kulala Usiku hadi kuweweseka!

Khaaaa Udiii...
 
Huyo dogo atakua shabiki wa Chelsea
 
Kwa kweli na Huwa Wana ka usemi Kao..

"Kufeli shule sio ku feli maisha"
 
Story kama ya Bro wangu wa mama tofauti. Yeye alisoma miaki 7 coz ya miaka 3 na hakupata gamba. Mimi naanza mwaka wa kwanza yeye yuko wa mwaka wa pili, mpaka namaliza yeye yuko mwaka wa kwanza tena. Alikuwa aki disko ana hama cozi. Uzuri alikuwa anachezea pesa zake kwa kuuza mali za urithi kutoka kwa mama yake. Mwisho wa siku anavyosema kuwa alihamia CBE akamaliza diploma lakini ukimwambia tuma vyeti tukusaidie kazi anapiga chenga. Ni kama mpaka sasa hana hiyo degree wala diploma na mali za kuuza zimeisha.
 
Duuh
 
si ajabu anazidi 30 yrs kabisa... sasa kila mtu anamuona adui... mshamba sana huyo kijana. aliendekeza ubishoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…