Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni? - JamiiForums
Jr[emoji769]
 
Janga la kitaifa halibagui, hakuna kuficha ficha . ukificha maana yake. Utaangamiza wengine kama isabela.

Huyu atangazwe dunia nzima na dunia imuogope ili wengine wapone.

Katiba na sheria ndogo ndogo zimesimama, wafungwa wanatolewa, shule zimefungwa, Haki za utu na Uhuru wa kutembea popote zimefungwa
Sasa inatakiwa atueleze hii corona kaipatia wapi?

Ikibidi ahojiwe kwa lazima tujue alikutana na watu wangapi ili tuzuie kusambaa.

Publication zisambae haraka ili kuvunja chain.

Vinginevyo kitendo cha kuzuia hii taarifa kwa umma ni ishara wazi familia ya Mbowe imejipanga kuangamiza taifa kwa kusambazia watanzania na dunia nzima.

Nasubiri aitishe maandano nchi zima ili kudai haki ya mtoto mgonjwa na siri za gonjwa hatarishi ( corona).
Ambao in ujinga.

Ujinga was siasa za Chadema kunako corona virus.
Huu ni mzigo mkubwa kwa taifa na dunia hawakupashwa kukoroma wala kufurukuta bali kujitangaza na kuomba msamaha wa mwisho wakielekea kujitenga (self quarantine)
 
Binadamu weusi ata siku moja awawezi kua watu
 
Umewaza mbali kama mimi aisee.
Maana ugonjwa ungeanzia kwetu hakuna mtu angepoteza muda wake kufanya research ya kuhusu hao virus.
Atleast ugonjwa umeanzia ughaibuni huku tunaona na kujifunza kupitia mitandao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya leo ndio nimegundua kuwa Mbowe ana busara sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejiuliza huyu kapataje Corona, inabidi atuambie, au ni wale mabeberu ambao hawajazuiwa kuingia mpaka Sasa ambao pia Ni rafiki za baba, nahisi hii corona atakuwa amepata kwa wakishua wenzie.

Ni muhimu sana kupata taarifa hizi, Mana huyu haendi kariakoo anafanya shoping mall. Mpaka pasaka hali itakuwa mbaya sana and we need to lock down kama Italy na UK Spain na USA
 
You an Idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakua alikua najichanganya Sana na wazungu..kwa kipindi huko kaa mbali na wazungu, wachina na jamii zao
 
Watoto wa kishua hawa wana marafiki zao kibao wanatoka nchi za nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…