Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Wewe umepata nini?
 
Ila hamna akili wala nn zaidi ngoja balaa lianze , watoto 6 kila mmoja na mama ake hamna bond hapo ,ngoja balaa utaona ..

Pesa zote alikuwa anachangiwa acheni utani.... Familia ilizidiwa gharama mtu kafa anajiona.
Hamna balaa lolote beneficiaries ni watoto..... wahaya wametisha kwenye hili
Halafu alikufa sababu mwili ulikua umegoma tayari kuendelea kufight
 
Hayo mambo ya kugombania mirathi yana wenyewe!

Picha ingeanzia kwenye kumpata msimamizi.

 
Hamna balaa lolote beneficiaries ni watoto..... wahaya wametisha kwenye hili
Halafu alikufa sababu mwili ulikua umegoma tayari kuendelea kufight
Hawakuwa na pesa bhana , professor J kachomoa ..Familia ilikuwa inachangisha mtu kashakufa kwa vile walikuwa na madeni.

Hamna cha maana hapo ngoja kesi zake uone... watoto wenyewe ndio yule Dj 😂😂
 
Wenye tamaa ya Mali uwa ni ule ukanda, sisi Wahaya atunaga njaa izo kugombania Mali za ndugu hata kwenye mashamba utaratibu unajulikana uwa ni kwa watoto wako na ndugu na familia ni kusimamia kugawana kwa haki watoto wa Mareham sio vingine
 
Halafu si Mr Urisi shabani ndio alisema🤣🤣🤣 watoto hawatunzwiii ila shebyyy nyieeee.....na yule mke wa Tommy Jones nae kapata sio?
Nakwambia... kama vile ana hela ya kulipia ada feza wale watoto.
Yah mke wa RDJ kapata kwa niaba ya mwanae...
Inshort wamama washindwe wao tu
 
Hawakuwa na pesa bhana , professor J kachomoa ..Familia ilikuwa inachangisha mtu kashakufa kwa vile walikuwa na madeni.

Hamna cha maana hapo ngoja kesi zake uone... watoto wenyewe ndio yule Dj 😂😂
Muda utaongea ila kama ni chokochoko zingeshasambaa maana Mrs Ulisi huwa anawindwa sana for negativity.....
Kifo ni fumbo, kina Mufuruki $ millionaire mbona alivuta
Ila J kaponea chupu chupu sana na kiukweli bado ni mdhaifu
 
Wana utu brother..tunajua familia zina matajiri lakini mirathi Mpk wanashikiana mapanga ati
 
Sahihi kabisaaaa
 
Wana utu brother..tunajua familia zina matajiri lakini mirathi Mpk wanashikiana mapanga ati

Ruge hakuwai kuoa ndio sababu umeona hivyo hakuna mgogoro. Maana watoto wote na ndugu za ruge wana haki sawa

Mirathi za matajiri zinakuaga zina shida kukiwa na mke.

Hata Ruge angekuwa ameoa ana Mke. Mirathi yake isingekuwa nyepesi.

Mke halali huwa ana nguvu sana kwenye sheria ya ndoa.. ndugu wanakuwa hawana mamlaka yoyote ndio ugomvi unatokea
 
Itapungua sababu kuna hela ya real estate agent na kodi ya serikali... but still bado ni nyingi ikitumika vizuri.

Mgao utapungua pia. Baba mzazi na mama mzazi pia huwa wanaingia kwenye mirathi.

Sheria ya mirathi inawatambua wazazi pia kama warithi halali. Wanaingia kwenye mgao wa mirathi.

Warithi halali huwa ni

1. Mke wa marehemu.
2. Watoto halali wa marehemu
3. Wazazi halali wa marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…