Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Hapoomwishooo nimechekaaaa ikabidi nimwombee Munguu nisifekabisaa
 
Uombeeee na wazazi wakooo wawee matajiri nduguuuu

Pesa za Ruge zilianzaaa na uzao

Baba na mama wakiwaaa halibinhofu wajukuuu wasubirie sanaaaa
 

Kila mtu anajua Mutie ndio alikuwa the next king kutokana na mafanikio ya EATV& EA Radio lakini hata hao mafamba ndio wanaendesha kampuni za baba yao na IPP haijafa hadi leo.

Vipi kwanza Amorrete inaendeleaje au imekuwa lifemate furniture au GSM maana inaonekana mjane kaonewa wakati ana uwezo mkubwa wa kusimamia biashara
 
Nani anaendesha kampuni? huyo msagaji? au huyo boya wa kiume, unaijua ipp vzuri wewe na wanaoiendesha tangia mzee akiwa hai ni akina nani? huyo wa kike anaendaga moshi kuchukua hela ya kwenda ngorongoro na mademu zake kuwasaga, hana anachojua, ungesema labda kidogo uncle wao ningekuelewa, ila huyo wa kike na hcho kiazi cha kiume, hamna kitu hapo,
 
Uombeeee na wazazi wakooo wawee matajiri nduguuuu

Pesa za Ruge zilianzaaa na uzao

Baba na mama wakiwaaa halibinhofu wajukuuu wasubirie sanaaaa
Bongo kungekua na system ya Trust Fund iliyonyooka vizuri, mtu na vihela vyako wala unakua huna hofu...
Unatupa mali zako huko trustees wataendelea kubenefit bila migogoro ya wananzengo
 
Assuming upo sahihi... .hiyo haimpi Jack uhalali wa wosia ambao mahakamani ameangukia pua.
 
Hayo mambo ya kugombania mirathi yana wenyewe!

Picha ingeanzia kwenye kumpata msimamizi.
Watu wa Dar, waswahili, mume anaacha mke na MASURIA zaidi ya tano.

Mtu kama Diamond platinumz, akidanja ugomvi utaisha lini? Aje Zari , aje Hamisa, AJE Tanasha, aje ?Zuchu, Aje Yle mkuu wa nanii , hivi huko mahakamani kutakalika kweli?
 

Kumbe Regina hahusiki kwenye kuendesha IPP,

Umehadithiwa au upo kwenye management, kama haupo kwenye management na hufanyi kazi IPP, hayo unayoyaongea ni hear says maana nachojua Regy kaanza kuingia toka mzee wake yupo hai na akiingia ofisi yoyote ya IPP sio nobody kama klyn..

By the way sina haja ya kubishana, Mengi kashafariki, mjane hajakabidhiwa alichotamani kupata, IPP bado ipo..

Mshindi ni wewe 😁
 

Zama ana mimba??
 
Bongo kungekua na system ya Trust Fund iliyonyooka vizuri, mtu na vihela vyako wala unakua huna hofu...
Unatupa mali zako huko trustees wataendelea kubenefit bila migogoro ya wananzengo
Kabisa ndugu
 
Vipi hawa wajane wengine hawapo kwenye mirathi?

Achana na wanawake aliozaa nao, naongelea wale mhh
 
Vipi hawa wajane wengine hawapo kwenye mirathi?

Achana na wanawake aliozaa nao, naongelea wale mhh
Najiuliza tu, wajane watakorithi ni hawa waliozalishwa, We-ema Septu, Zu-uhuchu, adija Kakopa na Jukati hawajazalshwa hivyo hakuna urithi.
 
 
Pongezi because specifically concubines and I'm sorry to say bastards of the deceasea wamefaidika na mirathi, na wazazi marehemu na ndugu wameamua wasidai kitu kutokana na hali zao nzuri kiuchumi. Hii sheria itazamwe sidhani ni haki watoto na mama zao pekee kufaidika na mirathi huku wazazi wa marehemu ambao muda huo wanakuwa wamezeeka wanahitaji kutunzwa, bahati hapa wazazi wako well off, kwingine lazma migogoro itokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…